PreGE2025 Wanachuo na Wakufunzi kutoka Marekani waitembelea CCM kupata ufahamu juu ya masuala ya Demokrasia na Sera

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Wanachuo na Wakufunzi wao kutoka Chuo Kikuu Cha Whitworth cha Marekani leo wametembelea Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam na kufanya mazungumzo na Katibu wa NEC Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Rabia Abdalla Hamid

Pamoja na mambo mengine, Wanachuo hao wanaosoma masomo ya siasa, falsafa na uhusiano Kimataifa, walitaka kupata ufahamu juu ya masuala ya Demokrasia, Sera za CCM kuhusiana na watu wenye Ulemavu, Miundombinu na Maendeleo ya watu kwa ujumla

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Wanachuo hao wapo nchini kwa kushirikiana na Chuo Cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kivukoni, Dar es Salaam kujifunza utamaduni wa Tanzania, lugha ya Kiswahili pamoja na mafunzo kwa vitendo.

snapins-ai_3621468270637770765.jpg
snapins-ai_3621468270520246578.jpg
 
View attachment 3320201View attachment 3320202

Watakuwa wameenda kujifunza mbinu za Ghiriba za kiutawala za kufanya Siasa chafu, wala siyo kujifunza Demokrasia na Sera.

Hivi katika CCM kuna Sera gani hasa ya kuweza kupigiwa mfano mzuri?
 
Hapo wanajua kila kitu ila wamekuja kututega tu, ni wajanja kupita maelezo
 
Watakuwa wameenda kujifunza mbinu za Ghiriba za kiutawala za kufanya Siasa chafu, wala siyo kujifunza Demokrasia na Sera.

Hivi katika CCM kuna Sera gani hasa ya kuweza kupigiwa mfano mzuri?
Trump anataka kupindua meza aongezewe muda, itakuwa wamekuja kuchukua madesa😏
1000031808.jpg
 
Back
Top Bottom