afu kama nmekuona leo block S hapa unapiga msuli wa Sup ya Sc[emoji2] [emoji2]daah ile si nlikuwa naluipwa Field mzee na ishatumika kwa mambo mengine!
daah ile si nlikuwa naluipwa Field mzee na ishatumika kwa mambo mengine!
Badala ya kukimbilia nyumbani, ungeomba kwa masupervisor wako wa field uextend muda kwa ajili ya kujifunza vitu tofauti na course zako ulizosoma hata bila malipo.amin mkuu nmekupata
Kwani ukiwa home siyo cost?Idea nzuri sema field nlienda kufanyia mkoani so ni costful
Basi hutoweza fanya chochote subiri tu mfungue chuo!daah home nalala bure...nakula bure...nakunywa bure tofauti na huko