Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,301
- 8,706
Kama mjuavyo ndugu zangu, wanachuo wengi sasa hivi tushamaliza field so ni mwendo wa kukaa mpaka mwezi wa kumi na moja kurudi chuo, sasa kitu cha muhimu hapa naomba tushauriane je nini tufanye angalau siku ikianza na kuisha angalau uwe umefanya kitu fulani kuliko jua linachomoza....linazama hujafanya chochote!