Zeddicus Zu'l Zorander
JF-Expert Member
- Aug 25, 2011
- 804
- 951
Tumekwama kwenye foleni kubwa muda huu baada ya wanachuo kugoma na kulala barabarani, njia ya kwenda mikoani Singida, Tabora n.k
Madai
1.Elimu isiyokidhi viwango
2.Elimu bila mitaala
3.Wanadai wamepeleka madai yao kwa mkuu wa wilaya wakaambiwa chuo hakitambuliki.

Update
Tumefanikiwa kupata njia mbadala tukapita ingawa kuna mtu kapiga simu anasema baada ya polisi kufika eneo la tukio wote wametawanyika.