Wanachuo wa St. Joseph Arusha wafunga barabara

Wanachuo wa St. Joseph Arusha wafunga barabara

Zeddicus Zu'l Zorander

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2011
Posts
804
Reaction score
951
Tumekwama kwenye foleni kubwa muda huu baada ya wanachuo kugoma na kulala barabarani, njia ya kwenda mikoani Singida, Tabora n.k

Madai
1.Elimu isiyokidhi viwango
2.Elimu bila mitaala
3.Wanadai wamepeleka madai yao kwa mkuu wa wilaya wakaambiwa chuo hakitambuliki.

ImageUploadedByJamiiForums1408353961.111234.jpgImageUploadedByJamiiForums1408353996.869202.jpgImageUploadedByJamiiForums1408354026.071358.jpg

Update
Tumefanikiwa kupata njia mbadala tukapita ingawa kuna mtu kapiga simu anasema baada ya polisi kufika eneo la tukio wote wametawanyika.
 
Hapo wataishia kula mabomu na wengine kuumizwa .. In short wameshasikika
 
Mbaya zaidi wako wachache, alafu inaonekana wako disorganized. Magari yenye wanajeshi wanayaruhusu.
 
hakitambuliki vp wakati serikali inawapa mkopo wanafunzi waache majibu mepesi kwa maswali magumu.
 
Kwa tz ya leo waweza kuwa mbuzi wa kafara wakaisahau elimu mazima
 
St. Joseph sio chuo cha kujiunga kabisa kama unahitaji kusoma, kuanzia college of engineering kule mbezi na college nyingine zote #mm mwenyewe ni victim wa hiki chuo sababu nilisoma semester moja ikanilazimu niache chuo kutokana na madudu ya hawa wanaoitwa wahindi aka wadosi
 
hebu dadavua mkuu mana kuna dogo angu anapiga pale DP st joseph mbezi na daily analalamika bt huw nikimuuliza haeleweki kabisa!! Kuna magumashi gani pale!? Na huwa si wantoa sponsorship za nje pale!?
 
Huyo mkuu wa wilaya anahusikaje na suala la mitaala ya vyuo? kweli hata hao wanafunzi ni vilaza ndio maana wanazinguliwa na chuo.
 
Polisi wamefika muda mfupi uliopita na kupiga mabomu ya machozi kuwatawanya wanachuo hao. Hali ya utulivu imeanza kurejea.
 
niko centre polisi Arusha gari 3 za polisi zimekuja zimejaa wanafunzi hao walioandamana sasa hivi wanarushwa kichurachura
 
Mtihani ni lini? Vyuo vingine ukisikia mgomo tu na maandamano ujue mtihani uko karibu na jamaa wanataka kukwepa pepa. Chezea chuo wewe!!!!!
 
Huyo mkuu wa wilaya anahusikaje na suala la mitaala ya vyuo? kweli hata hao wanafunzi ni vilaza ndio maana wanazinguliwa na chuo.
Nachukia wachunga ng'ombe kama wewe, unafata ng'ombe matak.oni tu!
Wewe kama unajua mahali wanapotakiwa kwenda si useme?
Wao wameona atakaye wasaidia hata kwa mawazo ni Mkuu wa wilaya sasa wewe unakosoa wakati huna ufumbuzi?
You are the worst stupid helper that i have heard of!
 
Elimu ya bongo ni kukomaa kiume kwani wanaomba mitaala inawasaidia nini kwani wao walimu!!
Kama wanataka mitaala si waperuzi wataipata tu au watumie njia za compromise na mawaziri wanaohusika kuliko kuziba barabara ambapo wanazuia watu kufanya biashara na wengine kuwahisha wagonjwa wa hospitali!!
Wanaofanya hayo wana akili hasi!!
 
Kama wasomi wa Tanzania ndivyo mlivyo ni bora wote tukawa wachunga ng'ombe tu,
Nachukia wachunga ng'ombe kama wewe, unafata ng'ombe matak.oni tu!
Wewe kama unajua mahali wanapotakiwa kwenda si useme?
Wao wameona atakaye wasaidia hata kwa mawazo ni Mkuu wa wilaya sasa wewe unakosoa wakati huna ufumbuzi?
You are the worst stupid helper that i have heard of!
 
Ndiyo hasara ya vyuo vya kata na kibabaishaji kama hivi, na bado tutaendelea kusikia kwa vyuo mbuzi vingine kama UDSM UDOM CBE IFM na uchafu mwingine,

Hivi vyuo viige mfano bora wa Mzumbe university, The Havard of Africa.
 
Back
Top Bottom