Zeddicus Zu'l Zorander
JF-Expert Member
- Aug 25, 2011
- 804
- 951
hebu dadavua mkuu mana kuna dogo angu anapiga pale DP st joseph mbezi na daily analalamika bt huw nikimuuliza haeleweki kabisa!! Kuna magumashi gani pale!? Na huwa si wantoa sponsorship za nje pale!?St. Joseph sio chuo cha kujiunga kabisa kama unahitaji kusoma, kuanzia college of engineering kule mbezi na college nyingine zote #mm mwenyewe ni victim wa hiki chuo sababu nilisoma semester moja ikanilazimu niache chuo kutokana na madudu ya hawa wanaoitwa wahindi aka wadosi
hakitambuliki vp wakati serikali inawapa mkopo wanafunzi waache majibu mepesi kwa maswali magumu.
Inawawzekana mkuu wa wilaya hayuko informed, si unajua viongizi wetu hawa walivyo wababaishajiHapo ndipo pa kushangaa sasa
Sent from my iPhone using JamiiForums app
Mbaya zaidi wako wachache,alafu inaonekana wako disorganized.Magari yenye wanajeshi wanayaruhusu.mbaya zaidi serikali yetu inajali mambo ya Chadema kuliko mambo ya muhimu kama Elimu
Nachukia wachunga ng'ombe kama wewe, unafata ng'ombe matak.oni tu!Huyo mkuu wa wilaya anahusikaje na suala la mitaala ya vyuo? kweli hata hao wanafunzi ni vilaza ndio maana wanazinguliwa na chuo.
Nachukia wachunga ng'ombe kama wewe, unafata ng'ombe matak.oni tu!
Wewe kama unajua mahali wanapotakiwa kwenda si useme?
Wao wameona atakaye wasaidia hata kwa mawazo ni Mkuu wa wilaya sasa wewe unakosoa wakati huna ufumbuzi?
You are the worst stupid helper that i have heard of!