Wanachuo wa St. Joseph Arusha wafunga barabara

Wanachuo wa St. Joseph Arusha wafunga barabara

Ndiyo hasara ya vyuo vya kata na kibabaishaji kama hivi, na bado tutaendelea kusikia kwa vyuo mbuzi vingine kama UDSM UDOM CBE IFM na uchafu mwingine,

Hivi vyuo viige mfano bora wa Mzumbe university, The Havard of Africa.

Wazimu umekupata lini mkuu...?
 
hebu dadavua mkuu mana kuna dogo angu anapiga pale DP st joseph mbezi na daily analalamika bt huw nikimuuliza haeleweki kabisa!! Kuna magumashi gani pale!? Na huwa si wantoa sponsorship za nje pale!?

mkuu ni kweki huwa wanatoa sponsoship za kwenda kusoma india ila ukienda huko:-
1) hakuna interactioni kati ya waafrika na wahindi
2) waafrika hukusanywa pamoja wanaosomea fani moja na kufubdishwa kwenye madarasa tofauti na wahindi.

hizo sponsorship huwa zipo kwa chuo kinaitwa Chennai University.

kunajamaa alienda huko akaambiwa vipi tuonyeshe hata picha ulizopiga huko jibu alilotoa ni kuwa ALISAHAU KUPIGA PICHA.
 
Elimu ya bongo ni kukomaa kiume kwani wanaomba mitaala inawasaidia nini kwani wao walimu!!
Kama wanataka mitaala si waperuzi wataipata tu au watumie njia za compromise na mawaziri wanaohusika kuliko kuziba barabara ambapo wanazuia watu kufanya biashara na wengine kuwahisha wagonjwa wa hospitali!!
Wanaofanya hayo wana akili hasi!!

Jamaa wangepiga kimya, wakifeli paper ndo waje juu wadai hakuna mtaala.
 
Kama wasomi wa Tanzania ndivyo mlivyo ni bora wote tukawa wachunga ng'ombe tu,

Eti msomi mzima hajui bodi inayohusika na usimamizi na usajili wa vyuo vya elimu ya juu hadi waende kwa mkuu wa wilaya!! hakuna wasomi hapo.
Bora wangeenda veta tu.
 
Juma tatu tarehe18th 08 2014 Wanafunzi wa chuo kikuu cha stjoseph arusha campuswafunga barabara ya ARUSHA-SINGIDA-MWANzA kwa takiribani saa mojana nusu wakitaka majibu ya serikali kuhusu chuo chao ktokua na mtahahalawakfndishia na muongozo(prospectus).

chuo hakina serikari ya wanafunzi nawakufunzi wenye taluuma husika(qualified staff) kinyume na sheria za usajiri wavyuo vikuu (refer to TCU website)" chuo lazima kiwe na muongozo (prospectus) namutahala(curriculum) kabla ya masomo kuanza chakushangaza na kusikitisha chuokina umri wa mwaka mmoja.. japo ata uongozi wa wilaya hautambui uepo wa chuohicho.

Chuo kinatoa shahaada ya ualimu lakini chaajabu wakufunzi wanataluuma yauandisi(engineers) hivyo chuo kimefungwa kwa siku 30-45 tokea tarehe ya 19thAugust. 2014 ilikurekebisha mtahala apo chini ni tarifa ya kfunga chuo na pichaya wanafunzi walivyo funga barabara. Chuo kina matatizo mengi sana sema hayo nimachache tuu..
 
MAJANGA STJOSEPH UNIVERSITYARUSHA CAMPUS
Juma tatu tarehe18[SUP]th[/SUP] 08 2014 Wanafunzi wa chuo kikuu cha stjoseph arusha campuswafunga barabara ya ARUSHA-SINGIDA-MWANzA kwa takiribani saa mojana nusu wakitaka majibu ya serikali kuhusu chuo chao ktokua na mtahahalawakfndishia na muongozo(prospectus) chuo hakina serikari ya wanafunzi nawakufunzi wenye taluuma husika(qualified staff) kinyume na sheria za usajiri wavyuo vikuu (refer to TCU website)” chuo lazima kiwe na muongozo (prospectus) namutahala(curriculum) kabla ya masomo kuanza chakushangaza na kusikitisha chuokina umri wa mwaka mmoja.. japo ata uongozi wa wilaya hautambui uepo wa chuohicho. Chuo kinatoa shahaada ya ualimu lakini chaajabu wakufunzi wanataluuma yauandisi(engineers) hivyo chuo kimefungwa kwa siku 30-45 tokea tarehe ya 19[SUP]th[/SUP]August. 2014 ilikurekebisha mtahala apo chini ni tarifa ya kfunga chuo na pichaya wanafunzi walivyo funga barabara. Chuo kina matatizo mengi sana sema hayo nimachache tuu..

clip_image002.jpg






clip_image004.jpg


Ndo maana mdogo wangu amerudi nyumbani tarehe 20 mwezi huu. Nikamuuliza akasema wamepewa likizo fupi
 
Ndiyo hasara ya vyuo vya kata na kibabaishaji kama hivi, na bado tutaendelea kusikia kwa vyuo mbuzi vingine kama UDSM UDOM CBE IFM na uchafu mwingine,

Hivi vyuo viige mfano bora wa Mzumbe university, The Havard of Africa.

Najua ulikuwa unaitamani sana UDSM but nature selected you. Pole sana
 
Back
Top Bottom