Wanachuo washtakiwa Kwa utapeli wa zaidi ya Tsh. Milioni 78 kupitia Mitandao ya Kijamii

Wanachuo washtakiwa Kwa utapeli wa zaidi ya Tsh. Milioni 78 kupitia Mitandao ya Kijamii

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Kevin Anunda Mogaka, Francis Manyara Ogata, na Bravin Osano Ombongi wanadaiwa kuendesha akaunti 15 kwenye #WhatsApp na #Telegram, ambapo waliomba Kati ya Tsh. 48,000 - 672,317 kutoka kwa Wazazi kwa ahadi ya kuwatumia Karatasi zilizovuja za Mitihani Mbalimbali ya Taifa

Hadi kukamatwa kwao, Watuhumiwa hao ambao ni Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha #Egerton walikuwa tayari wamekusanya zaidi ya Tsh 76,836,340 sawa na Ksh. 4,000,000

Mkurugenzi Mtendaji wa Baraza la Kitaifa la Mitihani la Kenya (KNEC) David Njeng’ere ameondoa hofu ya kuvuja kwa Mtihani wowote, akisema vifaa vyote vya Mitihani vina ulinzi wa kutosha

………………….

Three of the students – Kevin Anunda Mogaka, Francis Manyara Ogata, and Bravin Osano Ombongi – are expected to be arraigned at the Milimani law courts this morning while the fourth one has turned State witness.

The three will face three counts of conspiring with intent to deceive the public, publication of false information, and being in possession of stolen ID cards.

The students were arrested after investigations by Knec and the Directorate of Criminal Investigations (DCI).
They were allegedly operating 15 accounts on WhatsApp and Telegram, where they solicited money from the public with the promise of sending them leaked examination papers.

They were demanding between Sh5,000 and Sh35,000. One such group seen by Nation has over 2,500 members.

According to the investigators, the students had already collected over Sh4 million deposited in two bank accounts, which the DCI has frozen.

Read: Revealed: Pakistani pathologists find crucial evidence missed by Kenyan medics
They were also found in possession of several ATM cards, national identity cards, and SIM cards that did not belong to them.

However, Kenya National Examinations Council (Knec) CEO David Njeng’ere allayed fears of any exam leak, saying all examination materials are in safe custody. He warned students against being duped.

Source: Nation.Africa
 
Hahaha nafikiri wazazi nao wanapaswa kuunganishwa kwenye kesi kwani wamefanya jaribio la kuiba mtihani
 
Kumbe kuna Dili la kupiga pesa na hamsemi[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom