Hali niliyokuwa naitegemea kuwa mtu akisoma huwa anaongeza maadili na maarifa lakini nilipofika chuo sio vile katika suala la mahusiano, ni kawaida kwa wanachuo kila mmoja anapofika chuoni kuanzia uhusiano mpya , wakati alikotoka aliacha mtu wake . wengine wanaenda mbali zaidi na kuwa makahaba kwa kisingizio cha ukosefu wa fedha . HIVI wasomi hatuwezi tukawa mfano bora kwa jamii katika suala la mapenzi . hivi sasa sehemu zinazozunguka vyuo wazazi wanalalamika watoto wao kuharibiwa maadili na wanachuo . mavazi hapo usiguse wanawake wanatamani kuingia lecture na chupi , if possible tupunguze tuheshimu wachumba tunaowaacha nyumbani.