Wanachuo wengi wanawapenzi chuoni na sehemu wanazotoka

Wanachuo wengi wanawapenzi chuoni na sehemu wanazotoka

Kwel kabisa uyasemayo,utakuta mtu katoka kwao akiwa ameokoka mbaya lakin akifika chuo kutokana na mambo yanayoendelea huko kwan watu weng huwa na wapenz na mara nyngn hufanya mambo hadharan hvyo kupelekea mlokole wa watu kushawishika na kutupa ulokole kule na yy na kujiingiza ktk mapenz mwsh wa cku anaishia kubaya..so jaman wasomi tuwe mfano mzur kwa jamii zetu...!
 
unajua njaa ni kitu kibaya sana mdau,watu wanafika chuo na mawazo mengi sana,halafu zile ndo sehem walipo ma chafu baro na wachina wengi sana thats why unakuta watu wanachange :A S 465:
 
Hili kaka halina mjadala, wanapoingia chuoni mahitaji uongezeka ili kuongeza vyanzo vya mapato lazima atakuwa na mahusiano mengi tuu.

Tatizo ni tabia ya wanaume kutoa pesa,ndiyo maana inachukuliwa kuwa kwenye mahusiano ni chanzo cha mapato.
 
Back
Top Bottom