chichimizi
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 1,074
- 339
Nakazia!!Kutoa siri za wanaume tukikufukuza chama cha wanaume utahamia upande wa pili ?
Hakili yake mwrnyewe hiyoKutoa siri za wanaume tukikufukuza chama cha wanaume utahamia upande wa pili ?
[emoji16]jamaa anazingua sanaHakili yake mwrnyewe hiyo
Nawaonea huruma sana aisee nimekutana na kesi nyingi za single mother waliokua wanatafuta Faraja ghafla wakawa double mother[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sema ww ndo ulivyo usichanganye watu maana watu hawafanani tabia.
Nami nasema... afukuzwe tu. Hamna namna tena.Kutoa siri za wanaume tukikufukuza chama cha wanaume utahamia upande wa pili ?
hahahaaaa....Kutoa siri za wanaume tukikufukuza chama cha wanaume utahamia upande wa pili ?