chichimizi
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 1,074
- 339
Habari za usiku wakuu...poleni na majukumu ya mchana kutwa.
Nielekee direct kwenye hoja yangu! Nimewahi kuona ama kupitia nyuzi nyingi za wadada wanaodai kutafuta waume wa kuwaoa ( wengi wao wakiwa ni single mother) .
Dada zangu muwe makini sana ktk kutafuta kwenu huyo mume vinginevyo mtajikuta mnazalishwa na mnaachwa solemba.
Sisi wanaume Akili zetu tunazijua wenyewe.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haswa tukishikwa na genyeeeee