The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Now.Ahsante kwa kuweka maoni yako. Hiyo assigment ni submit lini?
Hilo kabila ustaarabu wao uko chini, pole kama nimekuumiza. Ila huo ndio ukweliKosa la mtu mmoja kujumuisha watu wote wa hilo kabila ndio umekosea... Unless kama ulikua unataka uwaseme so ukatumia huo mfano
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja kwanza niingie library nikachimbue mkuuNow.
Huyo dada sio jeuri ila ana ujasiri wa kufanya mambo ambayo wengi wetu tunaogopa au kuona aibu kuyafanya
Nawezaje wakati ata kudai jasho langu siwezi 😀 😀 😀
😂😂😂 wewe nakukubali hata 50 ukiamua humuachii mtu.. watu mnaroho zenu za ujasiri aseeHuyo dada jasiri hata mie naweza fanya hivyo sasa ninywe ya nini wakati nahitaji hela ya bajaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Natamani sana hayo mabadiriko ili kuya achieve sasa ndio shida. Ukiwa mwenyewe unajipa moyooo ila ukiwa mbele ya mtu yote uliyojipa moyo yanapoteaBora umesema. Ukiona hivyo unahitaji mabadiliko makubwa hii dunia sivyo unavyofikiria
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijaona tatizo la huyo rafiki yako, kama ambavyo wewe ulikataa kununuliwa bia kwa sababu hukua na uhitaji, ndivyo hivyo hivyo ambavyo naye alikuwa hana kiu ya bia, alikunywa hiyo moja kwa kukuheshimu wewe tu, na hiyo moja iliyobakia, ulitaka aifanye nini ?, ulitaka aimwage ? au ulitaka aiache hapo wahudumu wa baa waichukue waiuze tena ?, aliona bora bora achukue hiyo hela imfae baadae, Na wewe kuwakashifu kabila zima kwa madhaifu ya mtu mmoja huo sio ustaarabu piaKheri ya "Mwaka Mpya"
Jana nilikuwa kwenye manywaji, nikawa nimekaa meza moja na dada ambaye tunafahamiana lakini siyo rafiki yangu.
Akaja kaka mmoja ambaye ananifahamu. Aka "force" kuninunulia bia. Nilimsihi sana kuwa sikuwa nahitaji kunywa kwa muda huo lakini na yeye aliniomba sana "Madam...(huku akitaja jina langu) naomba nikununulie japo bia mbili"
Nikaona isiwe tabu, kwa kuwa nilikaa na yule dada ambaye alikuwa anakunywa Serengeti Lite, basi nikamwambia nitakunywa Serengeti Lite. Akamlipa waitress hela ya bia mbili kiasi cha Tshs. 3,000.
Yule kaka akaenda zake kukaa sehemu nyingine mbali kabisa na pale nilipokuwa nimekaa na huyo dada.
Nikampa yule dada zile bia mbili kwa kuwa mie sikuwa na uhitaji nazo. Dada yule akanishukuru sana.
Dada akanywa bia moja. Sikuamini macho yangu! Yule dada akamuita mhudumu na kumwambia maneno yafuatayo: "Samahani dada, naomba urudishe hii bia moja, halafu unipe hela kiasi cha Tshs.1,500."
Waitress bila hiyana akachukuwa ile bia akairudisha counter, akamletea yule dada hela kiasi cha Tshs.1,500. Yule dada akachukua ile hela akaweka kwenye handbag, akaniaga na kuondoka zake.
Msemo wa wanaJF "Aibu niliona mimi"
Hivi nyie watu mnaoringa na kutamba kuwa nyie ndio kabila kubwa na kabila lenye watu wengi Tanzania, kwanini ustaraabu wenu unakuwa chini kila uchwao? Acheni ushamba wenu huo.
Kama haunywi unatafuta nini bar?
Hata hivyo kwenye uzi wangu nimesema nilikuwa sijihitaji bia kwa muda huo. hahahaahhBar alienda kuoga na kucheza draft.
Daby wewe ni mtu mkubwa sana hapa JF, kwenda bar ni lazima unywe bia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu unaweza ukaenda kunywa whisk au wine sio lazima beer.Bar alienda kuoga na kucheza draft.
Daby wewe ni mtu mkubwa sana hapa JF, kwenda bar ni lazima unywe bia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo ndiyo mnaitana kunishambulia kisa kaswali kadogo chakari mtabari?Hata hivyo kwenye uzi wangu nimesema nilikuwa sijihitaji bia kwa muda huo. hahahaahh
hahahahahahahaahah, JF raha sana. Tumuombe Mungu atujalie tuuone mwaka 2020. hahahahHapana mkuu unaweza ukaenda kunywa whisk au wine sio lazima beer.
Kuna bar wanaoga kumbe.....asante kwa elimu.
Siku hizi najiita Nakwede mkuu nilibadili ID,Kwa hiyo ndiyo mnaitana kunishambulia kisa kaswali kadogo chakari mtabari?
Uje nikununulie basi leo.
Hilo la zamani limenikaa zaidi.Siku hizi najiita Nakwede mkuu nilibadili ID,
Sio mbaya ni jina la babu yangu.Hilo la zamani limenikaa zaidi.
Hata hivyo kwenye uzi wangu nimesema nilikuwa sijihitaji bia kwa muda huo. hahahaahh