Hapana mkuu unaweza ukaenda kunywa whisk au wine sio lazima beer.
Kuna bar wanaoga kumbe.....asante kwa elimu.
ππππππππππ
Na wewe ungeweza kufanya kama huyo dada!!!!!wewe ndio sio mstaarabu. wewe ulimpa huyo dada bia, alikuwa na haki ya kuzitumia anavyotaka yeye. sijui kimekuuma nini wakati hata bia hukununua wewe?
Vilevi vipo vingi....cha Bar situmii ila vingine natumia.Karibu sana. Tena bahati nzuri ni siku ya Jumamosi nitakuw "fwiree". Unatumia kilevi? hahahaha
hahahahah, weka nukta. mengine tutaongea baadae hata kwenye lile jukwaa la chini kabisa chiniVilevi vipo vingi....cha Bar situmii ila vingine natumia.
Kheri ya "Mwaka Mpya"
Jana nilikuwa kwenye manywaji, nikawa nimekaa meza moja na dada ambaye tunafahamiana lakini siyo rafiki yangu.
Akaja kaka mmoja ambaye ananifahamu. Aka "force" kuninunulia bia. Nilimsihi sana kuwa sikuwa nahitaji kunywa kwa muda huo lakini na yeye aliniomba sana "Madam...(huku akitaja jina langu) naomba nikununulie japo bia mbili"
Nikaona isiwe tabu, kwa kuwa nilikaa na yule dada ambaye alikuwa anakunywa Serengeti Lite, basi nikamwambia nitakunywa Serengeti Lite. Akamlipa waitress hela ya bia mbili kiasi cha Tshs. 3,000.
Yule kaka akaenda zake kukaa sehemu nyingine mbali kabisa na pale nilipokuwa nimekaa na huyo dada.
Nikampa yule dada zile bia mbili kwa kuwa mie sikuwa na uhitaji nazo. Dada yule akanishukuru sana.
Dada akanywa bia moja. Sikuamini macho yangu! Yule dada akamuita mhudumu na kumwambia maneno yafuatayo: "Samahani dada, naomba urudishe hii bia moja, halafu unipe hela kiasi cha Tshs.1,500."
Waitress bila hiyana akachukuwa ile bia akairudisha counter, akamletea yule dada hela kiasi cha Tshs.1,500. Yule dada akachukua ile hela akaweka kwenye handbag, akaniaga na kuondoka zake.
Msemo wa wanaJF "Aibu niliona mimi"
Hivi nyie watu mnaoringa na kutamba kuwa nyie ndio kabila kubwa na kabila lenye watu wengi Tanzania, kwanini ustaraabu wenu unakuwa chini kila uchwao? Acheni ushamba wenu huo.
hahahahahahahaha, umenichekesha sana!
πββοΈ πββοΈ πββοΈ πββοΈ πββοΈ πββοΈ πββοΈ πββοΈ πββοΈ πββοΈ πββοΈ πββοΈ πββοΈ πββοΈ

chaaa! Mangi na wewe!Ustaarabu kwanza uanzie kwako unapewaje zawadi alafu na wewe unaigawa tena ndani ya muda mfupi
Sent from my iPhone using JamiiForums
Tehtehteh...itabidi nami nitembee huko Mwanza nijifunze mengi....
NAKWEDE nipokee 4th January nitapita.
hahahahahah, kha!
Nachojua disminders huwa wanaishi maisha ya raha sana maana hawaigizi maisha. Alitaka 1500 akaipata kwa hiyo bajeti zake zimeshaenda vizuri regardless utamchukuliaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo kabila ustaarabu wao uko chini, pole kama nimekuumiza. Ila huo ndio ukweli
Ajsee hata mm ni disminder mzuri tu!sijaona kosa!