Wanadamu tujifunze kuwa wastaarabu

Nakwede hujawah fanya haya mambo ww!?[emoji28][emoji28]...mbona easy sana best?hahhaa ..hujawh bakiza msos ukasepa nao!huyo ni km.kabakiza msos ila akaufanyia exchange rate[emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kwenye misosi ndiyo mchezo wangu kwenye masherehe..[emoji1787][emoji1787] nilikuwa najiona wa ajabu..ila Sasa konkodi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakwede hujawah fanya haya mambo ww!?😅😅...mbona easy sana best?hahhaa ..hujawh bakiza msos ukasepa nao!huyo ni km.kabakiza msos ila akaufanyia exchange rate😅
hahahah, unajua nilichoshangaa ni vile alivyopata ujasiri wa kubadilisha na kuchukua hela.
hahahah, si angeniambia mie nakunywa moja tu!
Au hata alivyopata ile si ange deshi kunipa mwenye bia zake. hahahahhahha, lakini mrembo alifungua handbag na kuweka, hapo hapo nikasikia tu "byeeee" hahahahahhahaaah. Halafu sio kwamba ana uchumi wa kuyumba! tehe tehe tehe.
 


Hahaha usiusemee moyoo😅!life changes!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…