Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,394
- 59,069
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakwede hujawah fanya haya mambo ww!?[emoji28][emoji28]...mbona easy sana best?hahhaa ..hujawh bakiza msos ukasepa nao!huyo ni km.kabakiza msos ila akaufanyia exchange rate[emoji28]
Kwenye misosi ndiyo mchezo wangu kwenye masherehe..[emoji1787][emoji1787] nilikuwa najiona wa ajabu..ila Sasa konkodi
Sent using Jamii Forums mobile app