Wanadamu tujifunze kuwa wastaarabu

Wanadamu tujifunze kuwa wastaarabu

NAKWEDE

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2007
Posts
27,970
Reaction score
35,168
Kheri ya "Mwaka Mpya"

Jana nilikuwa kwenye manywaji, nikawa nimekaa meza moja na dada ambaye tunafahamiana lakini siyo rafiki yangu.

Akaja kaka mmoja ambaye ananifahamu. Aka "force" kuninunulia bia. Nilimsihi sana kuwa sikuwa nahitaji kunywa kwa muda huo lakini na yeye aliniomba sana "Madam...(huku akitaja jina langu) naomba nikununulie japo bia mbili"

Nikaona isiwe tabu, kwa kuwa nilikaa na yule dada ambaye alikuwa anakunywa Serengeti Lite, basi nikamwambia nitakunywa Serengeti Lite. Akamlipa waitress hela ya bia mbili kiasi cha Tshs. 3,000.

Yule kaka akaenda zake kukaa sehemu nyingine mbali kabisa na pale nilipokuwa nimekaa na huyo dada.

Nikampa yule dada zile bia mbili kwa kuwa mie sikuwa na uhitaji nazo. Dada yule akanishukuru sana.

Dada akanywa bia moja. Sikuamini macho yangu! Yule dada akamuita mhudumu na kumwambia maneno yafuatayo: "Samahani dada, naomba urudishe hii bia moja, halafu unipe hela kiasi cha Tshs.1,500."

Waitress bila hiyana akachukuwa ile bia akairudisha counter, akamletea yule dada hela kiasi cha Tshs.1,500. Yule dada akachukua ile hela akaweka kwenye handbag, akaniaga na kuondoka zake.

Msemo wa wanaJF "Aibu niliona mimi"

Hivi nyie watu mnaoringa na kutamba kuwa nyie ndio kabila kubwa na kabila lenye watu wengi Tanzania, kwanini ustaraabu wenu unakuwa chini kila uchwao? Acheni ushamba wenu huo.
 
Nachojua disminders huwa wanaishi maisha ya raha sana maana hawaigizi maisha. Alitaka 1500 akaipata kwa hiyo bajeti zake zimeshaenda vizuri regardless utamchukuliaje

Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Halafu sio mchovu "financially"
 
Hata kama umeona tabia/ustaarabu wa huyo Dada uliyekua umekaa nae sio mzuri bado haikufanyi wewe kutuhumu kabila zima la huyo Dada,halafu kingine kama wewe ungekua ni mstaarabu basi ungemfahamisha huyo dada hapo hapo Bar kama umeona kuna kitu kakosea,kukimbilia kwako huku JF unadhani huyo dada naye yupo huku?

Kwa kuongezea tu,kwani wewe ulitaka yule Dada azifanyaje hizo bia ambazo pengine hakua na uwezo wa kuzinywa zote kwa wakati ule? pia napenda nikuachie home work ya swali moja,

1- Kwani kwa uelewa wakao wewe Ustaarabu ni nini? na unapimwa kwa kuangalia vitu/vigezo gani?

Kumbuka kila jamii,kila kabila,kila taifa lina ustaarabu/utaratibu wake.
 
Kheri ya "Mwaka Mpya"

Jana nilikuwa kwenye manywaji, nikawa nimekaa meza moja na dada ambaye tunafahamiana lakini siyo rafiki yangu.

Akaja kaka mmoja ambaye ananifahamu. Aka "force" kuninunulia bia. Nilimsihi sana kuwa sikuwa nahitaji kunywa kwa muda huo lakini na yeye aliniomba sana "Madam..... (huku akitaja jina langu) naomba nikununulie japo bia mbili"

Nikaona isiwe tabu, kwa kuwa nilikaa na yule dada ambaye alikuwa anakunywa Serengeti Lite, basi nikamwambia nitakunywa Serengeti Lite. Akamlipa waitress hela ya bia mbili kiasi cha Tshs. 3,000.

Yule kaka akaenda zake kukaa sehemu nyingine mbali kabisa na pale nilipokuwa nimekaa na huyo dada.

Nikampa yule dada zile bia mbili kwa kuwa mie sikuwa na uhitaji nazo. Dada yule akanishukuru sana.

Dada akanywa bia moja. Sikuamini macho yangu! Yule dada akamuita mhudumu na kumwambia maneno yafuatayo: "Samahani dada, naomba urudishe hii bia moja, halafu unipe hela kiasi cha Tshs.1,500."

Waitress bila hiyana akachukuwa ile bia akairudisha counter, akamletea yule dada hela kiasi cha Tshs.1,500. Yule dada akachukua ile hela akaweka kwenye handbag, akaniaga na kuondoka zake.

Msemo wa wanaJF "Aibu Niliona Mimi"

Hivi nyie watu mnaoringa na kutamba kuwa nyie ndio kabila kubwa na kabila lenye watu wengi Tanzania, kwanini ustaraabu wenu unakuwa chini kila uchwao? Acheni ushamba wenu huo.
Kosa la mtu mmoja kujumuisha watu wote wa hilo kabila ndio umekosea... Unless kama ulikua unataka uwaseme so ukatumia huo mfano

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesoma swali lile lile...Bar unaenda kufanya nini kama hauendi kunywa hadi unaanza kuwashangaa waliokwishalewa?
Una mwangusha Prof. Kuzilwa na timu yake.
Nimesema kuwa sikuwa na uhitaji kwa muda huo ambao kaka yule alitaka kuninunulia....
hahahahahahahahahahahahaha
 
Hata kama umeona tabia/ustaarabu wa huyo Dada uliyekua umekaa nae sio mzuri bado haikufanyi wewe kutuhumu kabila zima la huyo Dada,halafu kingine kama wewe ungekua ni mstaarabu basi ungemfahamisha huyo dada hapo hapo Bar kama umeona kuna kitu kakosea,kukimbilia kwako huku JF unadhani huyo dada naye yupo huku?

Kwa kuongezea tu,kwani wewe ulitaka yule Dada azifanyaje hizo bia ambazo pengine hakua na uwezo wa kuzinywa zote kwa wakati ule? pia napenda nikuachie home work ya swali moja,

1- Kwani kwa uelewa wakao wewe Ustaarabu ni nini? na unapimwa kwa kuangalia vitu/vigezo gani?

Kumbuka kila jamii,kila kabila,kila taifa lina ustaarabu/utaratibu wake.
Ahsante kwa kuweka maoni yako. Hiyo assigment ni submit lini?
 
Back
Top Bottom