Wanadamu tunaishi, tunapenda, tunakufa

Wanadamu tunaishi, tunapenda, tunakufa

Inaendelea!!!

Baada ya siku kazaa nilipata bahat ya kumuona rafk yangu akwa na huyo bint nkamdodosa na kupata contact zake sababu walikua class Moja! Ktk course flan!!
Young folk nkajitutumua na kuvaa ujasiri wa kumtext😬 guess what she didn't forget me ☺️,ikawa rahs kutoulizwa maswali mengi😅😅 Big 🥂🍾
Acha kutupangia cha kukomenti tafuta hela yu noo noo nyingi🚮
 
Back
Top Bottom