shegaboy
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 213
- 34
Nimesikitika sana na sasa hiki chombo cha NSSF kitakuwa kimya mpaka lini kwani kuna baadhi ya watu wameingia na kusema kuwa wameacha kazi na hali bado ni wafanya kazi na wanapewa mafao yao. fatilieni katika haya makampuni mtaona na kugundua hiki hapa kwetu kuna watu wameleta maombi yao kupew hela zao na hali bado ni wafanya kazi bado. maombi yanakuja leo au wiki ijao na HR amewaambia ila mtu wa fedha anawafanyia mpango wakwale chao inauma sana hii mpaka lini? hii ni taasisi fulani hiko hapa hapa kinondoni