Wanadiplomasia na wataalamu naomba mnisaidie gharama za daraja kama hili tafadhali

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
901
Reaction score
1,742
Naombeni makadirio yenu ili niingize kwenye bajeti unahisi kama hichi kidaraja kitagharimu kiasi gani ?
 
Mtu kuvunjika mguu kwenye Hilo daraja ni rahisi sana....!
 
Eti wanadiplomasia? Wanahusikaje na vivuko vya maskini walio katika nchi yenye uchumi wa kati.
Wapembuzi wa uchumi wanaangaliaga mzunguko wa fedha kwenye mabenk badala ya kutembelea vijijini huko
 
Naombeni makadirio yenu ili niingize kwenye bajeti unahisi kama hichi kidaraja kitagharimu kiasi gani ?


Hapo kuna miti kama 10 ya cyprus imetumika, gharama yake ni kama Tshs 500,000. Na labda vibarua kuangusha na kubeba ongeza Tshs 500,000, jumla Tshs 1m.

Misumari nchi sita kilo 20 Shs 60,000, labour charges Shs 1,000,000

Jumla shs kama Tshs 2,100,000.
 
Hii jumla mbona utata
 
Sijaona gharama za upembuzi yakinifu kwa hiyo hesabu yako itakuwa na shaka
 
Sijaona gharama za upembuzi yakinifu kwa hiyo hesabu yako itakuwa na shaka
Haaa! Kuna njia nyingi za upigaji🤣🤣🤣

Ila jumla ni kama 2.1m nilipitiwa

Ila kwenye daraja la Tshs 31 hawakuweka pia gharama za upembuzi yakinifu, naona wameogopa!
 
Kwa kijijin kidaraja kama hiko ni lak3..kwa mjin sabab material yote utanunua...ni kama lak7
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…