wanajamvi naomba msaada wenu,et kama umepewa aslmia mia,2natakiwa kulipia nin 4 registration?? msaada jaman,na vp kuhusu admision letter
nashukuru nyote for info..,vp kuhusu accodation kuhusu duce ,2nailipa na yenyewe hata bum halijatoka?
lazma ulipe,coz bum kwa first year huwa linachelewa kdgo,ila kama una pa kuishi ukitegea bum ts owky,ila kumbuka kuna deadline ya kulipia accomodtn,ukichelewa wanapewa wengine,kwa ushauri wangu,lipia kwa pesa zako,thn bum likitoka utareplace.
Samahani kwa usumbufu,kwa hyo hata kama umepata % unatakiwa ulipie ada kwanza au kipi kinatakiwa ulipie ndo usajiliwe??@udsm
Xanks! Home of great thnker
Nikushauri: Sasa unaenda kuwa mwanachuo,utoto na ulimbukeni wa kuandika kwa"x" uache.