Wanaduce na udsm kwa ujumla!!! Au yeyote mwenye idea abt ths...

Wanaduce na udsm kwa ujumla!!! Au yeyote mwenye idea abt ths...

Hapo unalipia direct cost (payable to the university) 76000/= kama sijakosea na accomodation fees....

Kama upo Dar unaweza kuchukua admission letter chuoni (yombo hall),kama upo mkoani utaipanda pindi ufikapo...

Asee umekula course gani mkuu??
 
wanajamvi naomba msaada wenu,et kama umepewa aslmia mia,2natakiwa kulipia nin 4 registration?? msaada jaman,na vp kuhusu admision letter

Kwa kuwa pesa yenu kutoka bodi huwa inachelewa unapaswa kuwa na kiasi cha pesa ulipe ada, na kitambulisho ili usajiliwe na kuingia chuoni rasmi then pesa yenu ikitoka chuo kinakurudishia, na kama unatoka mkoani ni vema ukawa na pesa ya akiba kwa ajili ya malazi kipindi utakachokuwa unasubiri usajili kwani hutapewa accomodation kama utakuwa bado hujasajiliwa rasmi na ili usajiliwe lazima ulipe ada.
Kuhusu admission letters mtapewa hapohapo chuoni kuanzia jumamosi tar. 12 ambapo ndio mtaanza orientation..
Hii ni kwa DUCE..
Kila la kheri..
 
nashukuru nyote for info..,vp kuhusu accodation kuhusu duce ,2nailipa na yenyewe hata bum halijatoka?

lazma ulipe,coz bum kwa first year huwa linachelewa kdgo,ila kama una pa kuishi ukitegea bum ts owky,ila kumbuka kuna deadline ya kulipia accomodtn,ukichelewa wanapewa wengine,kwa ushauri wangu,lipia kwa pesa zako,thn bum likitoka utareplace.
 
Samahani kwa usumbufu,kwa hyo hata kama umepata % unatakiwa ulipie ada kwanza au kipi kinatakiwa ulipie ndo usajiliwe??@udsm
 
Samahani kwa usumbufu,kwa hyo hata kama umepata % unatakiwa ulipie ada kwanza au kipi kinatakiwa ulipie ndo usajiliwe??@udsm

ucjali,kama umepata asilimia mia,kuna other university costs,kama 77400, kama cjakosea ambayo ina inclde identity card,bima ya afya na vitu vingine,wch u must pay them,.
 
Back
Top Bottom