Wanaenda kuiba na kupata mishahara mikubwa lakin si kulinda amani hata kidogoUseless! Mnaenda kulinda raia wa nchi zingine ila mnaacha raia wenu wakiwindwa hadi majumbani na kuuliwa kama digidigi. Shame on you!
Jeshi limetia aibu kubwa sanaHv kwanza wanaenda kulinda amani au wanakula kona?
😂 Ndo mana walidhalilishwa na kagame live live, mwanajeshi gani unasachiwa kama kibaka
Halijatia aibu bali limetuonesha sio jeshi la wananchiJeshi limetia aibu kubwa sana
Mkunda ndo alitoa kibali cha vijana kufa kitendo cha mkuu JWTZ kusema wale vijana ni wahalifu alitoa kibali vijana wauawe CDF Mkunda wakupelekwa ICCHalijatia aibu bali limetuonesha sio jeshi la wananchi
Hilo liko wazi mkuu. Huyo ni mmojawapo wa wanaosubiriwa ICCMkunda ndo alitoa kibali cha vijana kufa kitendo cha mkuu JWTZ kusema wale vijana ni wahalifu alitoa kibali vijana wauawe CDF Mkunda wakupelekwa ICC
Hahahaha walitimuliwa kongo na M23 kagame aliwasaidia kuwapa njia ya kurudi bongo na waliambiwa wasithubutu tena kukanyaga kongo tangu nilivyoona wanazalilishwa sikuwa na imani nao tenaHv kwanza wanaenda kulinda amani au wanakula kona?
😂 Ndo mana walidhalilishwa na kagame live live, mwanajeshi gani unasachiwa kama kibaka