wanafanya nini hawa ??

KakaNanii

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2008
Posts
325
Reaction score
52
Eti jamani hawa wanafanya nini hapa ???
 

Attachments

  • HAWA-JAMII.jpg
    25.7 KB · Views: 237
Hawa vijana wanafanyiwa African rituals[ unyago] wakiwa jandoni!!
 
Inabidi baada ya Mkulu kuanguka katika kura 31 October,picha kama hizi,pamoja na zile za watoto kusomea chini ya mti,Darasa 1 kutumika na wanafunzi wa madarasa tofauti kwa wakati mmoja,picha za shida ya Maji,wagonjwa kujifungulia mabarabarani zi-replace mabango ya Mkulu... YANAKERA AAAAAGHHHH!!!
 
watakuwa wanamsubiri babu aje kuwapigia hadithi............
 
Tusker Bariiiidi, mbona unachanganya faili la kifo na la ujali? MADA TOFAUTI NA MAONI YAKO, NON-SENSE.:A S 13:
 
Hawa wapo katika mafunzo maalumu ya Jando na hapo wanafundishwa namna ya kukaa pamoja kwa nidhamu na usawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…