Wanafikiri urembo kumbe ugonjwa

Wanafikiri urembo kumbe ugonjwa

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
1419164394466.jpg
 
Mshana....leo natoa shkamoo tu! Hata kwa wadogo zangu! Shkamooo Mshana! Haya makitu nita kuPM siku moja...Ni shida!
 
Kama yanataka kupasuka vle. Ana onekana kama kaelemewa, au macho yng tu🙄
 
Hayo ni matangazo ya biashara. Yanaweza yakawa na athari au yasiwe na athari lakini kwao umuhimu ni kutangaza
 
Hayo ni matangazo ya biashara. Yanaweza yakawa na athari au yasiwe na athari lakini kwao umuhimu ni kutangaza

Wangelipwa sawa na athari watakazozipata mbeleni isingekuwa shida saaana! Lakini pesa wanayolipwa inaishia kwenye vipodozi nguo za mtumba na starehe
 
ningekuwa mwanume hiyo ndo ingekua priority yangu kwa wadada
kama huna ziwa liloshiba
PITA HIVI......
 
Back
Top Bottom