Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Nadhani lengo ni kupata msaada Ili wasome na sio kwenda kutumia vibaya.
Lakini pia wangefanya nini kama uwezo hawana.
Kabisa yaniUko sahihi, hawana jamaa unaweza weka vyeti halali na bado wasikupe mkopo!
Kabisa umasikini mbaya sana hao lzm wafungwe..Hii yote ni kwa sababu ya umasikini
vijana wadogo wanaenda kufungwa
Ukichunguza vizuri ni vijana wa CHASO..Wanafunzi 17 na mhitimu mmoja kutoka vyuo mbalimbali Dar es Salaam wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa tuhuma za kughushi nyaraka, kutoa taarifa za uongo na kujipatia mikopo kwa njia za udanganyifu.
Mahakama imesema kati ya Juni 2024 na Novemba 2025, washitakiwa walitumia mfumo wa OLAMS kuwasilisha taarifa za uongo, ikiwemo madai ya ulemavu wao au wa wazazi wao ili kupata kipaumbele katika mikopo ya elimu ya juu.
Mbona kukopesha chuoni jambo la kawaida. Hii nayo ni hoja?Ukichunguza vizuri ni vijana wa CHASO..
REFER YULE ALIYEKAMATWA MWANZA KWA UKOPESHAJI
Polisi ndio wamemkamataMbona kukopesha chuoni jambo la kawaida. Hii nayo ni hoja?
Wameona yeye peke yake anayekopesha fedha kwa njia hizo chuoni?Polisi ndio wamemkamata