Nimepotea njia au hii ndio SIASA mpya ya sasa?
kazi mnayo kila kitu chadema!Chadema mnaharibu future ya Watoto wa watu na siasa zenu vyuoni!
Wanafunzi 27 wamefukuzwa chuo kikuu dodoma ndani ya siku 2,hii ni kutokana na wanafunz hao kudai special fucult requirement,tena wamefukuzwa under police escot km mbwa.Nionacho mimi chuo kikuu dodoma kinaenda kubaya sana na mpango wa serikal ni kuwafukuza wanafunz weng na ikiwezekana hata kufunga college zote eti kisa wanafunz weng wanaunga mkono chadema na kwa nin wanagoma?kwel 2tafika?
Ni SPECIAL FACULTY REQUIREMENTS. Maana yake ni "mahitaji maalum" katika kitivo alicho mwanafunzi. Kuna wanafunzi wengi wanadai hiyo tu ilimradi ni pesa lakini hawaelewi hata maana yake. Kazi ipo wasomi wa kisasa!!!!!!!!Special fucult requirement ni nini hasa? Nakumbuka late 80's wanafunzi Nairobi university walitimuliwa ,kisa walidai dialogue!
Wanafunzi 27 wamefukuzwa chuo kikuu dodoma ndani ya siku 2,hii ni kutokana na wanafunz hao kudai special fucult requirement,tena wamefukuzwa under police escot km mbwa.Nionacho mimi chuo kikuu dodoma kinaenda kubaya sana na mpango wa serikal ni kuwafukuza wanafunz weng na ikiwezekana hata kufunga college zote eti kisa wanafunz weng wanaunga mkono chadema na kwa nin wanagoma?kwel 2tafika?
Chadema mnaharibu future ya Watoto wa watu na siasa zenu vyuoni!
CDM inatafuta wanachama kwenye vyuo wakati CCM mnatafuta wanachama kwenye sekondari nani anae haribu future ya watoto....Chadema mnaharibu future ya Watoto wa watu na siasa zenu vyuoni!