Wanafunzi 27 wafukuzwa udom..

Wanafunzi 27 wafukuzwa udom..

Mvungi naye aje kwan wanataka laptopz ama special requirment mbna anapotosha jamii
 
Hawa sindio waliomchangia kikwete kipindi cha come-pain za 2010? Si ndio hawa waliompa na phd baada tu ya kukwaa urais kwa kuchakachua?................wachange pesa zaidi ili kikwete awahurumie zaidi na wamwongezee phd na phz
 
Chadema mnaharibu future ya Watoto wa watu na siasa zenu vyuoni!

we vpi? Una akili timamu kweli? Hivi kudai faculty requirement ni kosa la kufukuzwa chuo? Na kwanini wadai? We huoni kama ccm ndiyo inayoharibu future ya watoto wetu? Jaribu kufikir upya ikiwa akil yako iko timamu.
 
Hawa sindio waliomchangia kikwete kipindi cha come-pain za 2010? Si ndio hawa waliompa na phd baada tu ya kukwaa urais kwa kuchakachua?................wachange pesa zaidi ili kikwete awahurumie zaidi na wamwongezee phd na phz

usiwahukumu udom kwa ujumla wao, unakosea. Mi sidhan kama mtu mwenye akili timamu anaweza kufanya unayoyasema
 
Mvungi naye aje kwan wanataka laptopz ama special requirment mbna anapotosha jamii

"faculty requirement ni terminology tu" ni mkusanyiko wa vitu au vifaa ambavyo mwanafuzi anavihitaji kwa kutegemea na fani aliyonayo, kwa upande wa hawa vijana wao wanadai laptop kama ni moja ya faculty requirement, kwa maana ya kwamba wanahisi laptop ni special kwao na ni lazima wawe nayo, na ndio maana prof. mvungi aliwaeleza kuwa chuo kina computer lab yenye computer za kutosha, no need for lab top. na hata katika hali ya kawaida kama si wehu wa vijana wetu ni chuo au nchi gani kinatoa laptop kwa kila mwanafunzi wake tena wa undergraduate hata ulaya na marekani? hawa vijana wafukuzwe wamezidi wanazani watapata degree kwa migomo?
 
Mi nadhani hoja ya msingi ni hiyo "faculty requirement" haijalishi ni kitu gani hasa hicho hata lingekuwa gari!
Taratibu zinasemaje, ni jukumu la nani kuitoa?
Tatizo letu tunafanya vitu kwa mazoea, hiyo faculty requirements ishazoeleka huwa haitolewi kwenye vyuo vingi hapa bongo.
Sawa umesema hata ulaya hawatoi laptop kwa wanafunzi wao, lakini Rwanda walikuwa kwenye mpango wa kutoa laptop kwa watoto wa primary......
Tukiingalia elimu kama uwekezaji mkuu wa kijamii, tutaweza kufanya mambo makubwa zaidi (ya laptop) kwa wanafunzi wetu na walimu wao.
 
Kuna vifaa ambavyo wanafunzi wanatakiwa kupewa na chuo kama hawo wako kwenye fuculty ya technology na hakuna Computer Lab au Computer station ambapo panawekw computer za kutosha wanafunzi kuzitumia wakidai wanafukuzwa hayo ni mambo ya kutishana,Huyo Mkuu wa chuo na Msaidizi wake si ndio wezi wanaoiba mishahara ya walimu wakitoa tofauti na iliyoidhinishwa hazina watashindwa kunywa pesa za vifaa vya masomo vya wanafunzi
 
Wanafunzi 27 wamefukuzwa chuo kikuu dodoma ndani ya siku 2,hii ni kutokana na wanafunz hao kudai special fucult requirement,tena wamefukuzwa under police escot km mbwa.Nionacho mimi chuo kikuu dodoma kinaenda kubaya sana na mpango wa serikal ni kuwafukuza wanafunz weng na ikiwezekana hata kufunga college zote eti kisa wanafunz weng wanaunga mkono chadema na kwa nin wanagoma?kwel 2tafika?

College hiyo imeshafungwa.
 
Ina maana lile tangazo la

------Hii ni SIPIYU
------Hii ni mausi
-----Hii ni monita.....bila kuoana computer yenyewe linahusu UDOM?
 
Kuna vifaa ambavyo wanafunzi wanatakiwa kupewa na chuo kama hawo wako kwenye fuculty ya technology na hakuna Computer Lab au Computer station ambapo panawekw computer za kutosha wanafunzi kuzitumia wakidai wanafukuzwa hayo ni mambo ya kutishana,Huyo Mkuu wa chuo na Msaidizi wake si ndio wezi wanaoiba mishahara ya walimu wakitoa tofauti na iliyoidhinishwa hazina watashindwa kunywa pesa za vifaa vya masomo vya wanafunzi

mkuu froida, tafuta ukweli kabla ya kuandika, unahakika na hayo uliyaandika?, kinachodaiwa ni laptop na SI computer lab, computer lab ipo ila wanahitaji laptop, kwanza ufahamu faculty requirement haitolewi na chuo, inatoka bodi ya mikopo na kwenda moja kwa moja kwenye akaunti za wanafunzi. wanachuo wanatakiwa wafanye majadiliano na makubaliano na mkopeshaji wao na uwezo alionao, si chuo. bodi ina kiasi cahya kutoa kutegemea na fani husika,
 
Chadema mnaharibu future ya Watoto wa watu na siasa zenu vyuoni!

cku hizi kila jambo baya ni cdm.nway mfamaji.... mie pia mwanangu leo kagoma kabisa kunywa dawa, nadhani cdm hawamtakii
mema mtoto wangu, nimekumbuka.....pia ufunguo wangu umegoma kufungua mlango..bila shaka ni cdm....konda kagoma
kunipunguzia nauli....cdm hawanitakii mema kweli. kwa mwendo huu tutafika?
 
Back
Top Bottom