Chadema mnaharibu future ya Watoto wa watu na siasa zenu vyuoni!
Hawa sindio waliomchangia kikwete kipindi cha come-pain za 2010? Si ndio hawa waliompa na phd baada tu ya kukwaa urais kwa kuchakachua?................wachange pesa zaidi ili kikwete awahurumie zaidi na wamwongezee phd na phz
dawa ni kuandamana kushinikiza warudishe..
Mvungi naye aje kwan wanataka laptopz ama special requirment mbna anapotosha jamii
"faculty requirement ni terminology tu" ni mkusanyiko wa vitu au vifaa ambavyo mwanafuzi anavihitaji kwa kutegemea na fani aliyonayo, kwa upande wa hawa vijana wao wanadai laptop kama ni moja ya faculty requirement, kwa maana ya kwamba wanahisi laptop ni special kwao na ni lazima wawe nayo, na ndio maana prof. mvungi aliwaeleza kuwa chuo kina computer lab yenye computer za kutosha, no need for lab top. na hata katika hali ya kawaida kama si wehu wa vijana wetu ni chuo au nchi gani kinatoa laptop kwa kila mwanafunzi wake tena wa undergraduate hata ulaya na marekani? hawa vijana wafukuzwe wamezidi wanazani watapata degree kwa migomo?
Wanafunzi 27 wamefukuzwa chuo kikuu dodoma ndani ya siku 2,hii ni kutokana na wanafunz hao kudai special fucult requirement,tena wamefukuzwa under police escot km mbwa.Nionacho mimi chuo kikuu dodoma kinaenda kubaya sana na mpango wa serikal ni kuwafukuza wanafunz weng na ikiwezekana hata kufunga college zote eti kisa wanafunz weng wanaunga mkono chadema na kwa nin wanagoma?kwel 2tafika?
Kuna vifaa ambavyo wanafunzi wanatakiwa kupewa na chuo kama hawo wako kwenye fuculty ya technology na hakuna Computer Lab au Computer station ambapo panawekw computer za kutosha wanafunzi kuzitumia wakidai wanafukuzwa hayo ni mambo ya kutishana,Huyo Mkuu wa chuo na Msaidizi wake si ndio wezi wanaoiba mishahara ya walimu wakitoa tofauti na iliyoidhinishwa hazina watashindwa kunywa pesa za vifaa vya masomo vya wanafunzi
Chadema mnaharibu future ya Watoto wa watu na siasa zenu vyuoni!