JohnShaaban
JF-Expert Member
- Aug 23, 2007
- 464
- 116
Mkuu, haya ndio madhara ya sera ya shule za kata!
Inawezekana kabisa kuna baadhi ya hawa vijana wangekuwa na tija zaidi kama wangeenda shule zenye walimu na/au kubaki na wazazi wao pasipo kuwa 'spoiled' kwenye hizi shule za KISIASA!
- Watoto wanakwenda shule kwa lengo la kusoma,
- Lakini shule hazina walimu wa kuwafanya wafikie lengo lililowapeleka!
- Hatimaye watoto wanakuwa 'desperate', na ndio chanzo cha kutengeneza vikundi ili kujiweka busy
- Obvious, wapo wataoingia kwenye vikundi vya maana; lakini mtoto ni mtoto, wengine wataingia kwenye makundi ya uvutaji bangi, n.k.
Inawezekana kabisa kuna baadhi ya hawa vijana wangekuwa na tija zaidi kama wangeenda shule zenye walimu na/au kubaki na wazazi wao pasipo kuwa 'spoiled' kwenye hizi shule za KISIASA!