Lakini shule hazina walimu wa kuwafanya wafikie lengo lililowapeleka!
Hatimaye watoto wanakuwa 'desperate', na ndio chanzo cha kutengeneza vikundi ili kujiweka busy
Obvious, wapo wataoingia kwenye vikundi vya maana; lakini mtoto ni mtoto, wengine wataingia kwenye makundi ya uvutaji bangi, n.k.
Inawezekana kabisa kuna baadhi ya hawa vijana wangekuwa na tija zaidi kama wangeenda shule zenye walimu na/au kubaki na wazazi wao pasipo kuwa 'spoiled' kwenye hizi shule za KISIASA!
RR, wamejiita hivyo, nikiwa primary kulikua na jamaa wanajiita ANC walisimamishwa pia nadhani hairuhusiwi kuwa na hiz radical mischievous groups, hayo majina ndio waliochagua, ni kama mungiki
Wakajiunge na wale wa Ndanda wafungue shule yao!.maana wanazidi ongezeka sasa,mitoto aina hakili ndo maana inafikiria mambo ambayo sio kabisa,tena wangepata na mvua walau mbili toka kwa pilato ingekuwa fundisho kwa nyambafu wengine