WABHEJASANA
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 4,225
- 869
Wanafunzi 315 wa Chuo kikuu cha SAUT Mwanza hawajapata Mikopo ya elimu ya juu tangu septemba mwaka,hali ambayo imewafanya zaidi ya wanafunzi 30 hadi sasa kuacha chuo kutokana na maisha magumu,inadaiwa kamba badhi ya wanafunzi wamekuwa Omba omba Jijini Mwanza na wengine wanaishi kama Digidigi kutokana na kuwakwepa wenye nyumba walikopanga,wanadaiwa Pango.
Makamu mkuu wa chuo Dk.Charles Kitima amekiri kwamba bodi haijawalipia wanafunzi hao mpaka sasa hali inayowafanya kuishi maisha magumu,lakini baadhi ya watendaji wa Bodi wamesema walishalipa fedha,na kwamba hao huenda ni wale ambao hawakujaza fomu za kuomba mkopo pamoja na kwamba wamefaulu kuendelea na masomo kwa mujibu wa taratibu za Bodi.
Maoni yangu:Kama kuna ukweli kuna haja ya Bodi ya mikopo kuchunguzwa kwa sababu kuna malalamiko makubwa kuhusiana na mikopo ya wanafunzi,lakini pili hivi kweli tunawaandaa wanafunzi kama wasomi kwa satahili hii?!!
SOURCE:Gazeti la Sauti ya Afrika linalochapishwa Jijini Mwanza la leo Januari 27.