wanafunzi 300 SAUT hawajapata mkopo kutoka HESLB!

wanafunzi 300 SAUT hawajapata mkopo kutoka HESLB!

WABHEJASANA

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2011
Posts
4,225
Reaction score
869
Wanafunzi 315 wa Chuo kikuu cha SAUT Mwanza hawajapata Mikopo ya elimu ya juu tangu septemba mwaka,hali ambayo imewafanya zaidi ya wanafunzi 30 hadi sasa kuacha chuo kutokana na maisha magumu,inadaiwa kamba badhi ya wanafunzi wamekuwa Omba omba Jijini Mwanza na wengine wanaishi kama Digidigi kutokana na kuwakwepa wenye nyumba walikopanga,wanadaiwa Pango.

Makamu mkuu wa chuo Dk.Charles Kitima amekiri kwamba bodi haijawalipia wanafunzi hao mpaka sasa hali inayowafanya kuishi maisha magumu,lakini baadhi ya watendaji wa Bodi wamesema walishalipa fedha,na kwamba hao huenda ni wale ambao hawakujaza fomu za kuomba mkopo pamoja na kwamba wamefaulu kuendelea na masomo kwa mujibu wa taratibu za Bodi.

Maoni yangu:Kama kuna ukweli kuna haja ya Bodi ya mikopo kuchunguzwa kwa sababu kuna malalamiko makubwa kuhusiana na mikopo ya wanafunzi,lakini pili hivi kweli tunawaandaa wanafunzi kama wasomi kwa satahili hii?!!

SOURCE:Gazeti la Sauti ya Afrika linalochapishwa Jijini Mwanza la leo Januari 27.
 
Bodi ya mikopo iwasaidie hawa wanafunzi ili wafanya mitihani yao,lakini pia walipe madeni yao wengine nasikia leo wameondoka shuleni kurejea makwao kutokana na hali zao kuzidi kuwa mbaya!!!!!!!
 
Hakika kama ni bodi ya mikopo haitendi haki kwa wanafunzi hawa,,, jaribuni kuwa wastaraabu katika kutoa mikopo hiyo kwa wanafunzi wa taifa la leo.
 
Bod ya mikopo imetoa majina 210 kuwa wanafunzi hao watalipwa fedha zao na huo ni kwa mujibu wa loan office wa chuon hapo.na majina hayo yamebandikwa kwenye notice board zote za chuo.Lakin bado kuna shaka kwan taarifa hizi zinapingana na taarifa za mkurugenzi bodi ya mikopo.
1.Je kama majina hayo ni ya ukweli kwann taarifa zinapishana na taarifa za mkurugunzi?.
2.pia kwann majina yaje toka bodi bila fedha kama c changa la macho?.
3.kama ni kweli kwann mkurugenzi anapotosha umma wa watanzania?.
4.Na pia kama uhalali wa taarifa hizi upo,viongozi mnafanya nn?.
5.na kama mkurugenzi alikunywa pombe siku hiyo akajisahau,wanafunzi hao anawasaidiaje ili wapate fedha zao kwa muda?
USHAURI WA ZIADA KWA MKURUGENZ.
Uckae kila cku kwenye kiti watendaji kazi wako wanafanya madudu ofisini kagua kila kazi lasivyo maandamano yako mlango itakuwa kama Mtwara.
Pia chukueni maoni kwa kuwashilikisha walengwa ambao ni wanafunzi cyo wahadhili wa wanafunzi hawa.
 
Binafsi nimechoka kumpa mdogo wangu hela kila siku lol
 
Mkuu inavyoonekana hili jambo unalijua vizuri,hebu funguka ili tujue kwa undani jambo hili,Kuna taarifa kwamba Bodi imeshatoa fedha lakini kuna baadhi ya watu wawili Loan officer wa SAUT NA yule wa Makao makuu (Bodi),wanashirikiana kuzitumia fedha hizi kwenye shughuli zao binafsi na si mara ya kwanza ni mara nyingi sasa safari hii inaonekana ngoma imegoma,na kuna wanafunzi wamekuwa wakilipwa nusunusu.
 
wanafunzi 210 wemefanyiwa location ya hela zao kwa mwaka mzima lakin hawajapewa fedha hizo .Loan oficer akiulizwa tatizo nn jbu analotoa subiri mtapewa muda c mrefu tangia septemba mpaka sasa.
wanafunzi 19 wamepewa fedha zao kwan hawa ni wale waliokuwa wanalipwa nusunusu yaan first round of meal and accomodation amepata but second amekosa na wengine first wamepata na second wamekosa hao walipewa fedha zao.
Majina ya wanafunzi 199 yametemwa na bodi kabisa kisa hawakurenue mikopo yao kupita OLAS.
Hawa kigezo kinajulikana je hao 210 wanatatizo gani?.
Inaniuma sana kwani hili tatizo c la kuchekea leo linawakuta wenzetu kesho kwetu.tujipange.
Chakushangaza mtu mm1 mm1 akifatilia bodi wanamwambia ww umeshalipwa jina lako liko butch ya sita nahuku hajapewa fedha hizo huu c usanii.
Kama mkurugenzi anasema hakuna chuo kinachowadai,je Location ya majina ya wanafunzi 210 ni batili.
Kama ni batili kwa nini wasiambie ukweli?.
Mkurugenzi acha siasa chunguza na ujue tatizo liko wapi?.
 
Bod ya mikopo imetoa majina 210 kuwa wanafunzi hao watalipwa fedha zao na huo ni kwa mujibu wa loan office wa chuon hapo.na majina hayo yamebandikwa kwenye notice board zote za chuo.Lakin bado kuna shaka kwan taarifa hizi zinapingana na taarifa za mkurugenzi bodi ya mikopo.
1.Je kama majina hayo ni ya ukweli kwann taarifa zinapishana na taarifa za mkurugunzi?.
2.pia kwann majina yaje toka bodi bila fedha kama c changa la macho?.
3.kama ni kweli kwann mkurugenzi anapotosha umma wa watanzania?.
4.Na pia kama uhalali wa taarifa hizi upo,viongozi mnafanya nn?.
5.na kama mkurugenzi alikunywa pombe siku hiyo akajisahau,wanafunzi hao anawasaidiaje ili wapate fedha zao kwa muda?
USHAURI WA ZIADA KWA MKURUGENZ.
Uckae kila cku kwenye kiti watendaji kazi wako wanafanya madudu ofisini kagua kila kazi lasivyo maandamano yako mlango itakuwa kama Mtwara.
Pia chukueni maoni kwa kuwashilikisha walengwa ambao ni wanafunzi cyo wahadhili wa wanafunzi hawa.

Alichokisema mkurugenzi wa bodi ndicho kitu sahii, hakuna majina yaliyo bandikwa SAUT
 
Nilishasema na nitaendelea kusema, shida iko kwa Mussa na uongozi wa SAUTSO. Walifanya uzembe mkubwa, hawakutuma matokeo kwa wakati. Baada ya kuona pressure imekuwa kubwa ndio wakakurupuka. Sasahv wamekaa tu wamesinzia wakisubiri badala ya kufwatilia hatima ya hayo majina 215!. Ngoja UE iishe uone watakavyokurupuka tena. Kuna baadhi ya dada zetu wameanza kujiuza mida ya usiku pale Odinga, chuo kimenyamaza.
 
In coming academic year, (2012/2013) HESLB needs 368.9bn/-
for 99,834 students, 30,542 being first year and 69,292 continuing
students.

However the Treasury has allocated 326bn/- thus creating a deficit of
about 9bn/-. Mr Nyatega was optimistic that the deficit would be filled
up by funds collected from beneficiaries whose loans were due for
repayment.

SOURCE:http://www.dailynews.co.tz/index.php/local-news/6094-loans-board-faults-cag-s-report

I THINK U I'LL GET TO UNDERSTAND WHERE THE PROBLEM IS:evil::evil::evil::evil::evil:
 
Dhoooo wale wa kuapeal wacpoteze hta mda kuomba tena.
Wale ambao hatukuapdate cjui ndo itakuaje.
 
..c wanajfanya hawajui kugoma? Ha ha mtasanda..UDSM wakiunguruma apo yan siku 3 nying hela zshafika..mekumbuka mengi sana Mlimani....
 
Taarfa za msing kama ku update mkopo zngekuwa znatolewa na chuo sbb sio kila mtu anauwezo wa kuperuz internet...vyuo vngne custmer care zero ndo yale2 watu wakalipia pesa dirishan huku chuo kikitazama baadaye yanakuja maswala ya lipeni tena...
 
..c wanajfanya hawajui kugoma? Ha ha mtasanda..UDSM wakiunguruma apo yan siku 3 nying hela zshafika..mekumbuka mengi sana Mlimani....

wewe naye kilaza kweli unaleta uform 6 hapa eti udsm nini sasa toa wazo watu wafanya nini si kuleta ushamba wako wakusifia udsm udsm
 
bodi wamesema wanalipa watu 215 sasa mitihani si imekwiaha bodi wakae mkao wakula maana inasemekana bora simba aliyekasilika kuliko binadamu aliyechoka hugeuka mnyama kabisa
 
wewe naye kilaza kweli unaleta uform 6 hapa eti udsm nini sasa toa wazo watu wafanya nini si kuleta ushamba wako wakusifia udsm udsm

Kilaza unamfahamu wewe,eb ukijiangalia kwa kioo leo taswira utakayoiona ndo kilaza! Reality io ndugu yangu..hawajui kufight kwa haki zao,by th way STRIKE ni halali kisheria..use THREATS THREATS...Watasurrender 2..tatzo SAUT w2 weng wanajilpia wenyewe..ngv za migomo ni hafifu sana
 
Back
Top Bottom