Wanafunzi 6 wafariki kwa kugongwa na basi Mbeya

Nimepoteza rafiki huko mbeya miezi iliyopita hivi hivi kwa mtindo huu huko songwe ila sijajua mbeya jeografia yao ya barabara ni salama au sio salama
 
Aisee
Hasara kubwa kwa wazazi πŸ’”
 
Aisee
Hasara kubwa kwa wazazi
So sssaaaadddd πŸ™. Inna lilahi wainna ilayh rajiuun. Mungu Awapunzishe kwa Amani na Awajaalie walioumia wapate nafuu kwa haraka..

Dereva hakuwa amelewa kweli?
Barabara ya chunya Haina sehemu ya watembea kwa miguu.
Kiujumla Barabara za Mbeya ni Finyu sana na hazina sehemu ya kutosha .

Dereva naye ni mwehu sana,Angeweza zuia hiyo ajali kama ni hapo Charangwa.
Shida gari zinakimbia sana pia.
 
πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”...inaskitisha vijana 6 kuondoka kwa mpigo. Mungu Awape subra wazee wao
 
πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”...inaskitisha vijana 6 kuondoka kwa mpigo. Mungu Awape subra wazee wao
Magari ya Chunya yanakimbia sana bila kujali chochote.
Yaani barabara ni mbaya kona nyingi ila cha kushangaza madereva ni majasiri sana,
Hawajali chochote,hata zebra hawasinami,,ukipita vibaya anakuzoa.


Mtu anaona wanafunzi Barabarani
Hata kama walikosea,
Angeweza ty kuwa muungwana kwa kusimama kwanza.
Yeye akanyoosha Ili wampishe,ona unaenda kuua binadamu sita kwa upumbavu tu na kiburi Cha kutotaka kusimama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…