Polisi dodoma imewakamata wanafunzi 8 jinsia tofauti wa chuo cha ustawi wa jamii-dar wakiwa wamelala ktk chumba kimoja ktk nyumba ya kulala wageni Vatican mjini dodoma.Fumanizi hilo lilitokea wakati polisi wakiwa ktk upekuzi wa kawaida mida ya saa 8 usiku!source gazeti la habarileo
Tunaomba uwataje majina, ili wajulikane.
Mambo mengine ni ya kijinga sana.Sasa hao si watu wazima, polisi nao bana kukatisha tu starehe za watu.
Hizi ndo Habari za HABARI LEO siku hizi,Kosa lao ni nini?
Zaidi ya kufanya kosa la kulala watu nane katika chumba cha mtu mmoja (au wawili) na hivyo kuwakosesha mapato wenye hoteli, sijaona jipya la kufika kuandikwa kwenye gazeti
Ni walalahoi walikuwa wana save money. Bila shaka mmoja alipanga chumba akawakaribisha na wenzake bila ya UBAGUZI. Au chumba kilibaki hicho tu, sijui lakini, hayo ni maoni yangu tu. Usikute walitaka kuzini, maana 'watoto' siku hizi, mmh!!hii maana yake nini??au walikua wanasave hela ya chumba??lakini jinsia tofauti?hapo kazi ipo..
Sasa hao si watu wazima, polisi nao bana kukatisha tu starehe za watu.HTML:
Tunaomba uwataje majina, ili wajulikane.
Polisi dodoma imewakamata wanafunzi 8 jinsia tofauti wa chuo cha ustawi wa jamii-dar wakiwa wamelala ktk chumba kimoja ktk nyumba ya kulala wageni Vatican mjini dodoma.Fumanizi hilo lilitokea wakati polisi wakiwa ktk upekuzi wa kawaida mida ya saa 8 usiku!source gazeti la habarileo
Hizi ndo Habari za HABARI LEO siku hizi,
wao si ndo waliandika kuna mama kaoa wanaume wawili? headline front page.
The tehe tehe ... Miafrika haiweziiiiii. Ngozi zikigusana tu tayari agenda ishabadilika! Pia hawakuandikisha majina kwenye daftari na tatu ni kosa kwa watu wa jinsia tofauti kulala kwenye nyumba za wageni bila kuwa wanandoa.... Tatizo tunavunja sheria kila siku bila kujua hivyo kwakuwa tu hatuchukuliwi hatua!Hizi digrii za bamaga mh!Mambo mengine ni ya kijinga sana.Viwanafunzi vya kizungu vinajibana vinakuja bongo kutalii, vinalala vinne kwwenye double room au hata siita mpaka kumi, kule kipepeo beach kigamboni kwenye bandas za ufukweni, unakuta vimejirundika hata kumi, and it is okey kwa vile ni wazungu..........sasa hawa wanafunzi wa ustawi wamevunja sheria gani ya usalama mpaka wakamatwe na walinda usalama??@!This is bull shit!!