Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili gazeti nalo lishakuwa la udaku si wajiunge tu na Shigongo waanze kutuletea habari za kinaWema SepetuPolisi dodoma imewakamata wanafunzi 8 jinsia tofauti wa chuo cha ustawi wa jamii-dar wakiwa wamelala ktk chumba kimoja ktk nyumba ya kulala wageni Vatican mjini dodoma.Fumanizi hilo lilitokea wakati polisi wakiwa ktk upekuzi wa kawaida mida ya saa 8 usiku!source gazeti la habarileo