Ingia kwenye tovuti ya HABARILEO
Nimestushwa kwa jinsi mnavyotetea kosa kwa namna ya kipekee.
Thus wengi wenu mnakuwa mstari wa mbele kutetea wakosaji hapa jukwaani badala ya kuelimishana kupunguza idadi ya makosa jukwaani.
Ktk masuala ya malazi hasa hizi nyumba za wageni kuna idadi inaruhusiwa kulala chumba kimoja na isizidi hapo. Kama wamekamatwa ujue sheria inayozuia ipo ila tumekuwa wavivu kufanya utafiti
Hata Polisi nao huwa wanafanya makosa yanayofanana na hayo kwenye makambi yao. Unakuta askari ana chumba peke yake hamna sebule wala jiko halafu ana mke na watoto na haus gel na sometimes na ndugu. Uonevu tupu, tena wamewatangaza kwa vile mayankee wamefulia hawakuwa na hela ya kuhonga otherwise wangemalizana palepale kwa kuchukua mshiko. Nyani haoni kundule.kam kulala watu 8 chumba kimoja wa jinsia tofauti ni kosa basi hawa polisi wangeenda kwenye hostel za vyuo hapa nchini wangekamata wanafunzi wote. wanaacha majambazi yanaiba wanawavurugia watu starehe zao....
Polisi dodoma imewakamata wanafunzi 8 jinsia tofauti wa chuo cha ustawi wa jamii-dar wakiwa wamelala ktk chumba kimoja ktk nyumba ya kulala wageni Vatican mjini dodoma.Fumanizi hilo lilitokea wakati polisi wakiwa ktk upekuzi wa kawaida mida ya saa 8 usiku!source gazeti la habarileo
Juliet Mchunguzi. ''.
Ustawi wa kujamiiana sio ustawi wa jamii.Hivi hii chuo ya Stawisha jamii imekumbwa na nini mbona kinakwenda harijojo sana na leo nimesikia kimezuiliwa kudahiri mwaka huu
.The tehe tehe ... Miafrika haiweziiiiii. Ngozi zikigusana tu tayari agenda ishabadilika! Pia hawakuandikisha majina kwenye daftari na tatu ni kosa kwa watu wa jinsia tofauti kulala kwenye nyumba za wageni bila kuwa wanandoa.... Tatizo tunavunja sheria kila siku bila kujua hivyo kwakuwa tu hatuchukuliwi hatua!Hizi digrii za bamaga mh!
Nimestushwa kwa jinsi mnavyotetea kosa kwa namna ya kipekee.
Thus wengi wenu mnakuwa mstari wa mbele kutetea wakosaji hapa jukwaani badala ya kuelimishana kupunguza idadi ya makosa jukwaani.
Ktk masuala ya malazi hasa hizi nyumba za wageni kuna idadi inaruhusiwa kulala chumba kimoja na isizidi hapo. Kama wamekamatwa ujue sheria inayozuia ipo ila tumekuwa wavivu kufanya utafiti
Baba mchungaji sasa apartment na chumba cha hotel wapi na wapi?!Hotel zina masharti yake na apartment zina yake...kwenye apartment hata mkikaa mia ila kodi inalipwa na usafi unazingatiwa landlord hawezi kua na tatizo na mpangaji.Ila hotel bwana ni biashara nyingine kabisa ndio maana hua wanalipisha kwa vichwa.Acha uwongo wako wewe! Mara ngapi watu huchukua chumba single na kuingia na mtu wa pili.....Nimeshuhudia kwenye nchi moja siitaji jina wanafunzi wa kihindi 8 wanaishi kwenye 2 bed room appartment. Hakuna polisi kuweka pua wala nini
acha uwongo wako wewe!
Mara ngapi watu huchukua chumba single na kuingia na mtu wa pili.....nimeshuhudia kwenye nchi moja siitaji jina wanafunzi wa kihindi 8 wanaishi kwenye 2 bed room appartment. Hakuna polisi kuweka pua wala nini
baba mchungaji sasa apartment na chumba cha hotel wapi na wapi?!hotel zina masharti yake na apartment zina yake...kwenye apartment hata mkikaa mia ila kodi inalipwa na usafi unazingatiwa landlord hawezi kua na tatizo na mpangaji.ila hotel bwana ni biashara nyingine kabisa ndio maana hua wanalipisha kwa vichwa.