Wanafunzi 8 wa chuo jinsia tofauti wakutwa guest chumba kimoja

mwana kijiji
pengine walikuwa wanafanya discussion watu wanawaonea wivu
wenzenu wameona rais wa nchi kila siku anakula kuku nje ya nchi na wao wakaenda zao dodoma kutanua kosa liko wapi jamani??
embu mjadala huu ufike mahali pake

Wamekwenda kutetea hatma yao kuhusu chuo chao wanaona kimetelkekezwa na kinataka kufutwa wanahisi kinatakliwa kiwe chini wizara ya elimu sio afya...wale wawakilishi wa wanafunzi wa mwaka 3 ambao walikuwa ndoto kupata degree soon

Wanawakamata ili iweje?
kwani kulala na jinsia tofauti kosa liko wapi? hilo ni kuingilia uhuru wa maisha ya watu binafsi...hao ni wanachuo, na sio watoto wa haki elimu (primary wala secondary)
Aibu iwashike na kuwaacha huru wasomi hao....Kamateni wanoingiza samaki wenye sumu,mikataba mibovu, na ya kifasadi,waomba rushwa milioni 50 kila taasisi....aibu yenu wenyewe

mwana kijiji

pengine walikuwa wanafanya discussion watu wanawaonea wivu

wenzenu wameona rais wa nchi kila siku anakula kuku nje ya nchi na wao wakaenda zao dodoma kutanua kosa liko wapi jamani??

embu mjadala huu ufike mahali pake

walikuwa wanasovu paper labda walipatapo

Inawezekana kuna sheria ya idadi maalum kwa kila chumba ndani ya gesti na wao walizidi..kama ilivyo mkikodi teksi

Ndio viongozi wetu wa baadae hao!Watu kama hao wakijapewa ofisi wataacha kuwa mafisadi?Utakuta wengine walikotoka wameacha wachumba wanawasubiria kuolewa nao.

Tatizo la watu bwana wakiona mtu yuko na jinsia tofauti mojakwamoja wanaanza kuhisi "ngono" vichwani mwao. Mie sioni tatizo kabisa. Mtu unaweza kuwa unaongozana "unatembea" na dada yako lakini mijitu inaanza kuwaza mambo mengiiiiine kabisa. Tubadilike jamani.
Hao wanachuo hata kama walikuwa kingono mie sioni tatizo kwani hao ni watoto wadogo jamaniiii! Aaaagh!

Polisi dodoma imewakamata wanafunzi 8 jinsia tofauti wa chuo cha ustawi wa jamii-dar wakiwa wamelala ktk chumba kimoja
Nilitegemea kutakua na maneno Huku wakiwa uchi wa bin adam.

Polic hapo walikuwa wanatekeleza wajibu wao, kwan dodoma wapo strict sana na hiz nyumba za kulala wagen, cc 2likuwa wa3 jinsia moja 2kataka rum moja walikataa katakata wakasema mwisho kulala ni wawil tena wanatakiwa wawe jinsia tofauti ndivyo sheria inavyosema na huwa polic wanapita ucku kukagua! Hao 8 tena saa8 ucku hata me icngeniingia akilin!

Wanafunzi wa ustawi wa jamii ! labda walikuwa wanafanya utafiti kuhusu malazi kwenye magesti na mahoteli je ? polisi wetu wanafikiri kwa kutumia uniform,wamewakamata kwa misingi gani ?

kwani degree za bamaga zina nn?

watu wanamambo yao tena wapo nane so ni pairs tayari askar wa kwetu njaa sana tena imezdi alafu mbn wenye guest wamewakubalia tatizo lipo wapi

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…