Wanafunzi 8 wa chuo jinsia tofauti wakutwa guest chumba kimoja

kati ya vyuo vyote DAR...hawa wajamii ndio wanaongoza kwa ulevi.. Wamezungukwa na ma bar..kusni,mashark,kaskazn,magharib.. Sio kosa lao
 
hata kama sheria ipo wanafunzi wamefanya kosa, lakini pia polis nao wankosa maana kama wangekuwa wako serious kwenye mambo muhimu walsio kwenye upuuzi kama huo tungewaelewa na huu ni mchongo kwa watumishi wa guest
 
Hili gazeti nalo lishakuwa la udaku si wajiunge tu na Shigongo waanze kutuletea habari za kinaWema Sepetu
 
Hamna sheria yoyote inayokataza watu kulala idadi hiyo....anayoijua hiyo sheria atuambie hapa. Polisi tu njaa zao na ndio walioita waandishi wa habari. mambo ya kukomoana tu hayo hamna issue wala nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…