WANAFUNZI AMBAO TUNA MPANGO WA KUVUTA WIKI NYINGINE MBELE TUKUTANE HAPA.

me ambae nimekimbia skuli moja kwa moja ntakuwa nakesha jf
 
Tofauti yenu mwanafunzi na sisi walimu ni kuwa, sisi walimu tumewamiss sana vijana wetu....Week mbili zimeonekana kama miezi 3
 
Tofauti yenu mwanafunzi na sisi walimu ni kuwa, sisi walimu tumewamiss sana vijana wetu....Week mbili zimeonekana kama miezi 3
Shule zingine tumefunga wiki moja yani hapo walimu ndio mnapo fail!!
 
Na log off jamani

Mwz 12 natumai tutakuwa pamoja tena.
 
Kumbe kuna wanafunzi humu...ndo maana mada za kitoto haziishi humu zikiongozwa na Zero IQ.
 
Mkuu we ni msheeeeeeenz.
 
Dingi umetisha..mwanao kakuelewa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…