Kweli Wanafunzi ni laini kweli hadi Wanaume; kama Wangepitia JKT ungeona Ukakamavu wao Wanawake Kuvamiwa au Wanaume kuvuliwa Suruali na kulawitiwa? Inaoyesha Uimara Umeisha yaani watoto ni Mayai na Chips
Tulikuwa tunabandikwa Ugali na Maharagwe; Saa nyingine Mpaka tulipwe ndio tunakwenda kwenye Restaurant zinaongozwa na Wake wa Makamanda unapata CHAI na MAANDAZI unajisikia kweli hapo ndio unaweza kupata Date
Hiyo ndio ilikuwa Mara yangu ya kwanza Nje ya Nyumbani na Mimi labda ningekuwa Mayai; Lakini Jeshi liliniimarisha, nilikuwa nikatwe bogi niende kambi ya kuua nikacheza mpira yaani masaa 9 nikachaguliwa timu ya Kambi.
You fight for survival for your Life; Angalia Sasa yaani Maisha ni Kugombania na JKT imenisaidia haswa --- THANKS JK NYERERE AND JKT