Wanafunzi coed-udom waingia barabarani kudai pesa zao!

Uncle Jei Jei

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
1,684
Reaction score
2,156
Kuna taarifa za kuaminika kuwa mda huu wanafunzi wa kitivo cha elimu UDOM wameanza mgomo kwa maandamano kuelekea utawala mkuu ili kushinikiza malipo ya fedha zao za kujikimu. Hii ni baada ya pesa kucheleweshwa sana huku ikiaminika kuwa pesa ziko chuoni tayari tangu dec.17 kwani majina waliyoletewa yana muhuri wa tarehe hiyo wa crdb(PAID-TAR,17 dec). Walio sain hata kabla ya xmas pesa hawajapata,huku wengine hata pesa ya kwanza hawajapata na utawala wanasema hautambui hilo na wengine majina yao hakuna kabisa! TUUNGANE KUTOKOMEZA UFISADI KWA KUTOOGOPA VITISHO!!
 
usiseme wameingia sema tumeingia mbona na wewe upo?
 
Endelezen mapambano wa ndugu,twajua wachache watatimuliwa sababu vyuo vikuu Tanzania vimekuwa km vyama vya siasa sasa,suluhisho la matatizo ni kutimuana.
 
tutawaekea baadhi yenu ili tupunguze malumbano..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…