BONGOLALA
JF-Expert Member
- Sep 14, 2009
- 16,508
- 11,897
elimu ya tanzania sasa yawa ya kitapeli!waliwatapeli watoto wa kibaha sasa watoto wa vijibweni kigamboni!wanafunzi wamepewa mitihani maths na civics ambayo ilishafanywa arusha huku ikiwa na mapitio ya pencil ya kuwa ilishafanyika.wanafunzi walilipa sh 12000 badala ya sh 7000 za halali kwa mkoa wa dsm!source nipashe