Goodvision
JF-Expert Member
- Apr 4, 2012
- 858
- 467
kama mitihan ndio kipmo cha uelewa bas mtihan wa darasa la saba hauna maana ni upotev wa hela tu.inakuwaje mtoto amefaulu alaf hajui kusoma na kuandika...
inakuaje watanzania tunaangalia upuuzi huu!!jee mbona waziri hajaita waandishi wa habari kama vile siku ile alipotangaza matokeo kwa sifa eti KIWANGO CHA UFAULU KIMEONGEZEKA!!!hapa Jf kuna mtu alishatoa angalizo juu ya hali mbaya ya matokeo na govt kuamua kuchakachua sasa sijui aibu hii itaisha lini maana kwa kura hawataondokakama mitihan ndio kipmo cha uelewa bas mtihan wa darasa la saba hauna maana ni upotev wa hela tu.inakuwaje mtoto amefaulu alaf hajui kusoma na kuandika...