Goodvision
JF-Expert Member
- Apr 4, 2012
- 858
- 467
Wanafunzi wote wa kidato cha kwanza 2013 wameanza kufanya mtihani wa maarifa sehemu mbalimbali nchini kwa lengo la kuwabaini wale wote wasiojua kusoma,kuandika na kuhesabu.
Mtihani umegawanyika katika sehemu mbili na una jumla ya alama 50.
Taarifa kutoka kwa wakuu wa shule zinasema atakayepata chini ya alama 30 atachunguzwa kwa makini na ikiwezekana hataendelea na masomo ya kidato cha kwanza
source:mimi mwenyewe niko chumba cha mtihani