Wapendwa nimepata story kutoka Junior Seminary Morogoro wamevunja mkataba na mzabuni aliyekuwa na tender ya Ku supply mikate (burge) kwa ajili ya wanafunzi na kuamua kutumia wanafunzi kujipikia mikate hiyo kitu kinachopelekea wanafunzi wengine kukosa baadhi ya vipindi kwa ajili ya suala hilo. Hii issue imekaaje na mamlaka bado hazipata taarifa kuhusu hilo VP na wazazi wenye watoto hapo wanajua linaloendelea kwa watoto wao?
Yesu alisema, mtu hata ishi kwa mkate tuu. Hivyo nashaurii wapike na sambusa, wali, makande na kila kitu.
Wasisahau na chakula cha roho ambacho ni maneno matakaatifu ya Biblia