Tetesi: Wanafunzi Junior Seminary Morogoro kujipikia Mikate

Tetesi: Wanafunzi Junior Seminary Morogoro kujipikia Mikate

ebabah

Member
Joined
Nov 15, 2016
Posts
35
Reaction score
22
Wapendwa nimepata story kutoka Junior Seminary Morogoro wamevunja mkataba na mzabuni aliyekuwa na tender ya Ku supply mikate (burge) kwa ajili ya wanafunzi na kuamua kutumia wanafunzi kujipikia mikate hiyo kitu kinachopelekea wanafunzi wengine kukosa baadhi ya vipindi kwa ajili ya suala hilo. Hii issue imekaaje na mamlaka bado hazipata taarifa kuhusu hilo VP na wazazi wenye watoto hapo wanajua linaloendelea kwa watoto wao?
 
Yesu alisema, mtu hata ishi kwa mkate tuu. Hivyo nashaurii wapike na sambusa, wali, makande na kila kitu.
Wasisahau na chakula cha roho ambacho ni maneno matakaatifu ya Biblia
 
wapike tu ila kwa muda wa ziada sio wa masomo, tena sio mikatr peke yake hata vingine halafu walimu waseme hilo nalo ni somo
 
Wanafundishwa ujasiriamali,ni Jambo zuri,mwanafunzi mwenye akili na anayejitambua Hawez kufeli eti Kwasababu ana zamu ya kuoka Mikate
 
Back
Top Bottom