njiwa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 13,144
- 6,942
Na wao hao wanafunzi kwa nini hawaku-submit hiyo report? Sheria ya chuo inasemaje kuhusu hili?
katavi una busara sana..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wao hao wanafunzi kwa nini hawaku-submit hiyo report? Sheria ya chuo inasemaje kuhusu hili?
Ni sawa kabisa we unashindwajwe kusubmit ambayo umekaa nayo mwaka mzima haya matoto ya siku hizi hovyo kabisa hapa karim hana shida msimuonee hata kama ana mapungufu yakeNa wao hao wanafunzi kwa nini hawaku-submit hiyo report? Sheria ya chuo inasemaje kuhusu hili?
Ww mtoa mada lazma utakuwa ni mmoja wa wahanga, huyo semeni nyerere huwa anashinda kule tanuru la fikra fesibuku nitamshauri kule cha kufanya then atawaambia nanyi.
mbona majina mengi ya wale ndugu zetu wagomea sensa?? Kuna kitu hapa lazima
Si viuzuri kuweka majina yao hapa. Hata hivyo naelewa concern yako katika hili. Mambo haya yapo kila mahali, na hawa wanaochukua maamuzi kama haya bila kufikiria mara mbili hawafai kuwapo katika uongozi wa taasisi yoyote ile ile.
Kuna dogo mmoja kasoma Ualimu miaka 2 akafaulu vizuri masomo yote kwa kiwango cha kati ya B na A. Lakini akashindwa somo moja tu la Ualimu wakamtosa bila kumpa nafasi nyingine. Hii inahitaji watu kukaa chini na kuchukua uamuzi makini, watu wapewe second chance kwani miaka mitano ni mingi sana. Hata wanafunzi mnaoshinda humu muwe makini kuangalia jinsi ya kusoma kwani kama somo fulani ni muhimu ni vizuri ukaliwekea mkazo kuliko masomo mengine.
Hata mimi nimemwambia aangalie ile list halafu aseme wapi ni wengi kwa mtazamo wake finyu! Amenisikitisha kwa kuwa na mtazamo wa udini hivi, halafu analalamika ametukanwa!Mkongwe kama wewe ni aibu kujidhalilisha humu Jamvini.
Kama hawakufuata sheria na utaratibu wa chuo ni lazima wa disco, kwani watu wangapi wamesha disco mwaka wa mwisho, hawatakuwa wakwanza wala wa mwisho! Ukiwa mwanafunzi soma na fata taratibu, ukishindwa ndio kufeli kwenyewe, yaani wazembe wabebebwe kisa ni final year, huo ni upuuzi!Second chance wapewe wote siyoo madaktari. Hivi kule chumba cha operesheni wanaweza kutoa second chance kwa aliyekufa? Acheni utani bwana. hao warudi nyumbani wakakazane na kilimo kwanza.