Wanafunzi Kenya kuimba wimbo wa EAC na kupeperusha bendera yake

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809


Schools in Kenya will be required to hoist the East African Commission flag and sing the EAC Anthem alongside the Kenyan flag and national anthem.

A cabinet meeting held on Thursday approved and directed the hoisting of the EAC flag in all government offices and public institutions with immediate effect.

The anthem, which is called Wimbo wa Jumuiya Afrika Mashariki, is a three-stanza composition in Kiswahili.

The cabinet's directive is intended to boost and promote EAC integration.

The same will also be implemented at public events.

The anthem is as follows:

Chorus

Jumuiya Yetu sote tuilinde

Tuwajibike tuimarike

Umoja wetu ni nguzo yetu

Idumu Jumuiya yetu.

Stanza 1

Ee Mungu twaomba ulinde

Jumuiya Afrika Mashariki

Tuwezeshe kuishi kwa amani

Tutimize na malengo yetu.

Stanza 2

Uzalendo pia mshikamano

Viwe msingi wa Umoja wetu

Natulinde Uhuru na Amani

Mila zetu na desturi zetu.

Stanza 3

Viwandani na hata mashambani

Tufanye kazi sote kwa makini

Tujitoe kwa hali na mali

Tuijenge Jumuiya bora.

EAC anthem to be sang alongside National anthem by all schools
 
if ever there will be a intergrated EAC, itafanyika baada ya hii generation yetu, itafanyika na hii generation ijayo, so ni vyema waingizwe kwa hio spirit ya EAC wangali wadogo, lakini pia inahitajika katika masomo ya historia na pia ya biashara wanafunzi wafundishwe sambba mambo ya EAC na pia faida yake na mabaya yake ili wajue kila kitu
 
Utasikia Tz tunaanza kulalamikia hilo lakini hapa ni wazi wenzetu baada ya kuikamata jumuia kiuchumi sasa ni kisiasa na possibly miaka 25-30 ijayo wakati hawa watoto wanachukua nafasi za wakubwa kila kilichomo ndani ya jumuia kitakuwa ni mali yao. Hakuna kutumia nguvu au kulalamika hapa bali ni mikakati kama hii!
 
Akuna mpumbavu tz anayetaka eac hiyo ni janja ya Kenya kujinufaisha kitapeli kama ilivyo tufanyia kwa AEC ya mwanzo watz atutaki eac tunataka ushirikiano wa kawaida tu
 
Akuna ******** tz anayetaka eac hiyo ni janja ya Kenya kujinufaisha kitapeli kama ilivyo tufanyia kwa AEC ya mwanzo watz atutaki eac tunataka ushirikiano wa kawaida tu
si mjitoe jamani.....mbona hamueleweki.hamtaki na mko ndani
 
Tupo tunafanya ujasusi kuusu njama za Kenya kuujumu inchi yetu
 
Tupo tunafanya ujasusi kuusu njama za Kenya kuujumu inchi yetu

Muendelee papo hapo kufanya ujasusi dhidi ya Kenya, wengine tunafanya yetu. Afrika inafunguka, juzi paspoti ya Afrika imezinduliwa.
Muendelee kukaa vikao na kupokea posho mkijadili Kenya.
 
@iwiva cha ajabu Tanzania ndo inawafundisha nn ujasusi angalia miradi mikubwa inapoenda!
 
Uijui tz wewe kwenye mambo ya hila usha sahau cow imekufaje na kuusu Africa tunasaminika sana kuliko nchi yoyote africa
 
Matatizo ya maendeleo ya nchi za Africa ni ya mndani ni ujinga kuzani kukosekana EAC ndiyo tatizo magufuli anajua tatizo la tz ni la ndani zaidi .badala ya wakenya kupambana na rushwa ufisadi na ukabila wanaangaika na mambo ya kipumvuuu EPA .EAC AU ujinga mtupu kama mna Akili tuigeni sisi tukikataa mnakataa tukipambana na rushwa mnapambana mambo yenu tatazidi kuwa poa
 
Akuna ******** tz anayetaka eac hiyo ni janja ya Kenya kujinufaisha kitapeli kama ilivyo tufanyia kwa AEC ya mwanzo watz atutaki eac tunataka ushirikiano wa kawaida tu


ndio maana kila nchi itafanya REFERENDUM IF 2/3 OF THE TOTAL COUNTRIES HO FORWARD THEN WE BECOME A COUNTRY WITHOUT YOU


UGANDA RWANDA KENYA WILL BE A SINGLE ENTITY BEFORE I DIE!!
 
Wazungu bwana hizo hela za kupigakura kilakukicha waafrica tunazo tunaacha mambo ya msingi tunaangaika na kupiga kura
 
Sikila umoja ni nguvu umoja mwingine uwa ni ualibifu hata katika ndoa jifunze wako watu wamealibikiwa kwa kuungana
 
Mbona haraka sana? ukweli jumuiya hii kwa maoni yangu binafsi sioni kama inatufaa kwa sasa ,ilitakiwa turekebishe mambo mengi sana nchini kwanza kabla ya kukimbilia kuungana ,hapa zanzibar tu tumeshindwa kutatua matatizo na ndio muungano mdogo tu hiyo afrika mashariki itakuja kutuumiza kama ile ya 1977
 
Wakenya wanatafuta kwa nguvu sana kurudi ndani ya East Africa "iliyowatenga", Tanzania ilipotengwa na COW, wala haikupaparika bali ilitulia na kuendelea na mambo yake na sababu kubwa ni kuwa Tanzania haihitaji sana EAC, bali EAC inahiitaji sana Tanzania, Tanzania ndio nchi pekee ya EAC iliyopakana na nchi zote, ndio uti wa Mgongo wa EAC, kwa upande mwingine Kenya inaihitaji sana EAC, lakini kukosekana kwake hakuna shida ndani ya EAC,
hivyo hizi movement za Magufuli, Museveni na Kagame zinamyumbisha sana Uhuru na Kenya kiujumla
 
Kenya following in Tanzania's footsteps. Hii kitu Magufuli alishaanzisha Tanzania zamani mbona!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…