Wanafunzi Kenya kuimba wimbo wa EAC na kupeperusha bendera yake

Wanafunzi Kenya kuimba wimbo wa EAC na kupeperusha bendera yake

ndio maana kila nchi itafanya REFERENDUM IF 2/3 OF THE TOTAL COUNTRIES HO FORWARD THEN WE BECOME A COUNTRY WITHOUT YOU

UGANDA RWANDA KENYA WILL BE A SINGLE ENTITY BEFORE I DIE!!
Sipati picha hiyo nchi itakuwaje. Alafu hapo Museveni ndio Rais wenu. Looh!
Yaani Tanzania ndio stabilizing factor. We bring democracy and stability!
 
Akuna ******** tz anayetaka eac hiyo ni janja ya Kenya kujinufaisha kitapeli kama ilivyo tufanyia kwa AEC ya mwanzo watz atutaki eac tunataka ushirikiano wa kawaida tu
You have a right to opt out if you don't like the idea.
 
You have a right to opt out if you don't like the idea.
And so you mean EAC is Kenya that way you asking as to opt out for disagree !!!!!!!! If not way you don't agree to stay away the EPA because is our idea
 
Kenya keep dreaming" but for sure and for real, EAC never never belong to kenya as they think is the owner of EAC
 
Kenya following in Tanzania's footsteps. Hii kitu Magufuli alishaanzisha Tanzania zamani mbona!

Bado sipati picha mbona imekua issue kubwa kwa Watanzania kwamba Kenya imefuata Tanzania kwa hili. Yaani tukiwaachia mtuongoze hata kwa jambo ndogo kama la bendera inakua taarifa kote kote na sherehe. Bendera ya EAC ni kwa ajili ya nchi zote husika, hivyo kwa njia moja au nyingine, lazima kila nchi itakua inapeperusha hiyo bendera hatimaye.
 
Juzi nimeingia wizara flani hivi hapa Dar nje kuna bendera ya EAC na ya Tanzania. Ndani, kabla ya kuanza kikao, ukapigwa wimbo wa taifa alafu wa EAC ukafuatia.
They should go a step further. Car number plates ziwe na bendera zote mbili, ya EAC na ya nchi husika. Ujumbe lazima utawafikia wengi!
 
Safi sana, sasa na sisi tumeongeza hatua kwamba kila mwanafunzi anaimba wimbo wa EAC, tumeanza kuandaa watoto wetu mapema.
 
Hii EAC niionavyo mm itakuwa kama katuni ya tom na jerry.tanz=jerry Kenya= tom
 
Back
Top Bottom